Happy birthday to me 09 March

Desire mobutu seseseko

JF-Expert Member
Aug 21, 2018
975
1,394
Habari wana MMU,

Leo si siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwangu, namshukuru Mungu wa kuongeza mwaka mwingine nikiwa na afya njema kabsa.

Mwenyezi Mungu awaomgezee wazazi wangu miaka mingi na heri hapa duniani..

Hakika Mungu ni Mwema na Mkuu wakati wote.!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom