Heri ya Mwaka mpya. Jamani naomba mnijuze hapa Dar Mauwa ya Rose naweza Nunua wapi nimpe Mzenji wangu siku ya kuzaliwa kwake wiki ijayo! Walau mwaka Huu nimsurprise!
Mch
Shoprite mlimani city wanauza bei rahisi sana. Yale ya kona ya st peters huwa wanashikisha, siku ya pili tu yananyauka. Angalia namanga, kwenye mataa there is Dina Florist. Ubebe ubishi wa bei kama wa kilo moja hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.