Lukansola
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 5,435
- 1,597
elfu 30 ni pesa ya mafuta ya siku moja. Not a big deal for car owners.
Umenishangaza sana kwa jibu lako mkuu, kimagambamagamba tu...
elfu 30 ni pesa ya mafuta ya siku moja. Not a big deal for car owners.
hahaa , sasa ushoga unaingiaje hapa? unajua kitaalamu kuna kitu kinaitwa self-reflection, yaani mtu anajiongelea yeye mwenyewe bila ya yeye kujijua..tuki-deduce ktk mfululizo huo, nadhani ni dhahiri wewe ndio shoga bin choko.maji..yaani wale mashoga ambao wakiona mamende wanaanza kunyenvuka tigoni..Huyu abdulhalim Si bure atakuwa Ni shoga tu,mwenye akili nzuri hawezi kuwa defensive hivi na kujibu kila andiko la akili toka kwa jf wakomavu.shenzi type mwenyewe na upuuzi fanyia kwako na kwa ushauri tu usionyeshe ujinga wako hadharani
hasira niitoe wapi? na kwa lipi? we sema tu mishkaki hiyo yapatikana wapi mie ntakulipia..provided jasho la mtu laweza liwa..Mpwa twende tukale mishikaki ya nguruwe pori ili upunguze hasira na majibu ya kifedhuli!
umaskini upi? mie sijalalamika maana mwezi ujao naenda kukata yangu, katu sitoleta longolongo na utetezi mrefu usio na kichwa wala miguu maana sijalazimishwa kumiliki gari. nauli kupanda ni kitu cha kawaida provided kuna factors zinazingatiwa.Tatizo lako ni umaskini hadi akilini. Mbaya zaidi ni kuridhika kuwa utakuwa maskini daima dumu. linalojadiliwa ni jambo la msingi kwa watz wote, maana hata wewe unayebeza litakuongezea nauli...wenye daladala wakilipishwa zaidi impact itakuja kwako.
Umenishangaza sana kwa jibu lako mkuu, kimagambamagamba tu...
ujumbe ni kwamba kama hela yako haijatimia usinunue gari, otherwise unatoa wrong impression kuwa unazo kumbe kabwela tu. duniani kote wene kipato kikubwa ndio wanaolipa kodi kubwa..siitetei serikali lakini ukweli wa mambo ndio huo.
Mmh hapa tunakoelekea kutakuwa na gap kubwa kati ya wenye nayo na tusiokuwa nacho. Mbaya zaidi tusiokuwa nacho wengi ni wasomi wazuri
It is a MIRACLE.!.jamaa leo kwa mara ya kwanza ameona fault ktk utawala wa Kikwete!
Labda niwe devil's advocate hapa, naona kiza ni kikubwa sana hapa, either kwa kutokujua au makusudi:
- Ina uhusiano moja kwa moja na majanga ya moto, ndo maana inaitwa 'FIRE' sticker.
- Wengine wanaweka fire-extinguisher isiofanya kazi kama mdoli, hiyo shurti ikaguliwe na wataalamu kuwa iko sawa na haijaisha
- Kodi inalipwa benki itakuaje mradi wa wakubwa? wacha dhana potofu.
- Idadi ya magari sio kazi YAKO, we lipa tu kinachokuhusu!
- Kupitia kulipwa kwa kodi hiyo ndio kutakowezesha kuihuisha hiyo fire department, serikali imefanya vema kwa hili!
- Yes, lipa hiyo kodi kwanza ndio uanze kulalamika
- Magari mengi ni vimeo coz ni used, umuhimu wa fire extinguishers can never be over-emphasized!
- Wananchi wengine wanalipia kupitia makato ya kodi zao mbalimbali
- Dhana ni kitu kizuri kikiwa na ushahidi, kama unao ulete hapa!
- Kama wameleta ni jambo jema, ili kila mwenye gari azipate kwa wakati!
- Land cruiser ni yako kwa matumizi yako, hujashikiwa binduki kichwani kwamba lazima uimiliki!
Njaare, Subiri usum,bufu mwingine katika hili. Ukishalipia huo mtungi, ukienda nao Fire utaambiwa haufai, katafute mwingine. na kabla hawajaukagua inabidi ukaulipie TRA... biashara kubwa hiiWana JF, Leo nimestuka na hii kodi mpya kwenye magari. Mbona sikusikia kama chanzo kipya cha mapato ya serikali kwenye bajeti ya mwaka huu?
Leo rafiki yangu kaenda TRA kulipia road licence katika kituo kimoja cha TRA. Alipofika kaambiwa anatakiwa alipie na gharama za ukaguzi wa mtungi wa fire extinguisher kwa gari yenye cc 1500 hadi 2500 ni elfu thelathini (30,000/=). Na utaratibu huu mpya umeanza tarehe 23/07/2012.
Katika utaratibu huo mtu unatakiwa kulipia gharama za ukaguzi TRA halafu ukimaliza kulipa unaenda na risiti na mtungi wako Fire. Ukifika fire unakaguliwa ndipo unapewa stika.
Ninajiuliza, je hiki chanzo kipya cha mapato kimekuja baada ya bajeti au kilikuwepo ila kilijificha kama kile kipengele cha SSRA?
ujumbe ni kwamba kama hela yako haijatimia usinunue gari, otherwise unatoa wrong impression kuwa unazo kumbe kabwela tu. duniani kote wene kipato kikubwa ndio wanaolipa kodi kubwa..siitetei serikali lakini ukweli wa mambo ndio huo.
ukiona tabu uza gari yako upande toyo..
t
Tatizo c kulipa hizo 30000,ttz ni je zinatumika kufanyia kazi gani?.usikute zinaishia kwenye posho za safari na vikao visivyo na tija
ujumbe ni kwamba kama hela yako haijatimia usinunue gari, otherwise unatoa wrong impression kuwa unazo kumbe kabwela tu. duniani kote wene kipato kikubwa ndio wanaolipa kodi kubwa..siitetei serikali lakini ukweli wa mambo ndio huo.
ukiona tabu uza gari yako upande toyo..
Masomi wazuri TZ! LoL. Hakuna ubunifu wala nini, kazi kutegemea ajira za JK au kukimbilia kwenye siasa. Kwa staili hii itaendelea kuwa makapuku.Mmh hapa tunakoelekea kutakuwa na gap kubwa kati ya wenye nayo na tusiokuwa nacho. Mbaya zaidi tusiokuwa nacho wengi ni wasomi wazuri