Maumivu kwa wenye magari: Utaratibu mpya wa kulipia road licence, Gharama za fire zaongezwa

hii niliiona kwenye matangazo ya tra wakiwa pamoja na watu wa fire, ili kupunguza usumbufu wa ukusanyaji wa mapato. Watu wa fire watakuwa wanachukua asilimia 70 nyingine zinabaki tra. Kwa zoezi zima wanategemea kupata kiasi cha milioni kumi.
i think you did not mean milioni kumi but kitu kingine like bilioni 10
 
Acha majibu ya ki-mramba mramba, ni majibu ya kishetani hayafai kuyatoa ikiwa ww ni bin-adam uliyo 'perfect'. Hili suala ni la msingi cz unatoa hiyo 30,000 au 40,000 then haupewi mtungi bali unanunua mwenyewe, so the questions are, What are we paying for? Why is such huge amount like that?

Nakuunga mkono kaka.tunanunua sticker,sticker zenyewe bullshit tU,hazina msaada wowote kwenye gari ni usanii tu...wezi wakubwa..funga wote!!
 
ujumbe ni kwamba kama hela yako haijatimia usinunue gari, otherwise unatoa wrong impression kuwa unazo kumbe kabwela tu. duniani kote wene kipato kikubwa ndio wanaolipa kodi kubwa..siitetei serikali lakini ukweli wa mambo ndio huo.

hii ni tofauti hapa kwetu mbna wengi wanacho lakini hawakilipii kodi mwenye kidogo ndo anaekilipia hyo kodi au ndo udhaifu wenyewe unaosemwa
 
unaongea as if tz is a perfect system..nchi ya ki-sultan hii kaka. doh!
 
Hakuna jipya hapo, badala ya kulipia ofisi za fire unalipia TRA. Tatizo nini? hayo malipo yalikuwepo toka mwanzo au hujawahi kuwa na gari?
 
Acha majibu ya ki-mramba mramba, ni majibu ya kishetani hayafai kuyatoa ikiwa ww ni bin-adam uliyo 'perfect'. Hili suala ni la msingi cz unatoa hiyo 30,000 au 40,000 then haupewi mtungi bali unanunua mwenyewe, so the questions are, What are we paying for? Why is such huge amount like that?

Zinedine,
Mbona kawaida tu kwani kunatofauti gani na zamani?
 
Hakuna jipya hapo, badala ya kulipia ofisi za fire unalipia TRA. Tatizo nini? hayo malipo yalikuwepo toka mwanzo au hujawahi kuwa na gari?

kutokuwa na wigo mpana wa kodi,kukosa ubunifu wa vyanzo vya mapato na ufisadi vinachangia yote haya kama tukipata viongozi watakao kuwa wanafikiri kijasiliamali(entrepreneurial mind) juu ya taifa lao na ambao hawatangulizi maslahi binafsi mbele tutaondokana na hayo
 
Serikali yetu ni mufilisi,wameshusha bei za umeme na nguzo lkn effect inaanza january wameongeza kodi za magari na upumbavu wa faya effect imeanza ASAP,mbona wana dabo standadi? Yani mtu wa TRA kuja kukakua mtungi pasipo kuuona ni sh 30000? Khaaaa huu ni wizi wa mchana kweupe,katiba mpya ndio suluhisho wa huu ujinga!
 
ukiona tabu uza gari yako upande toyo..

Hatutaki watu kama wewe katika ukimbu huu. Huyu jamaa kauliza swali la msingi. Kama ulikuwa huna jibu la swali lake bora ungekaa kimya kuliko kumwambia auze gari lake. You just don't fit in this forum! Wana ukimbi wote hebu tujaribu kuwa serious.
 
hutaki wewe na nani? ulinikuta JF na utaniacha..
 
ujumbe ni kwamba kama hela yako haijatimia usinunue gari, otherwise unatoa wrong impression kuwa unazo kumbe kabwela tu. duniani kote wene kipato kikubwa ndio wanaolipa kodi kubwa..siitetei serikali lakini ukweli wa mambo ndio huo.

Safi sana.....una maana waongeze kodi kwenye kila kitu ila watuachie kwenye unga, maharage na chumvi??? Maana vyote vingine vitatafsiriwa kama anasa tu.....
 
ndiyo chama cha majambazi hicho kuongoza nchi msilie na bado watawala na wanachama wao waliowasafishia njia kwa kuiba kura

Back
Top Bottom