Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,022
- 9,285
Bila shaka Tanzania sasa chini ya Raisi wetu Magufuli imeamua kuwa sasa tunataka rasilimali za nchi hii ziinufaishe nchi kwanza!.
Ukifuatilia kwa makini jinsi mabeberu wanavyooperate utagundua kwamba kuna pattern fulani huitumia ikiwemo,
1. Kununua viongozi na watu muhimu kwenye jamii ya nchi hiyo, ikishindikana hilo
2. Hutumia mashirika ya kimataifa na Cartels zao kuzinyima nchi bishi mikopo/ misaada au kutonunua bidhaa zao ili zikose pesa za kigeni, ili hatimaye nchi hizo zinyooshe mkono na kusurrender
3. Hufadhili vikundi vya kuleta sintofahamu katika nchi, kufanya mauaji au hata Uasi
4. Hutafuta kuwadhuru viongozi wakubwa
5. Wakishindwa mbinu zote Huamua kuingia kijeshi kwa kutumia mabaraza yaleyale ya Kibeberu kama security councils au Wakishindwa huko Huamua kuja kibabe tu kama walivyoenda Iraki bila kujali kauli ya mtu yoyote.
Sasa mimi nikiangalia trend ya matukio ya Kibiti na Mkuranga, nahofia isije ikawa ni mbinu za Mabeberu kutaka Kumblackmail Mzee alegeze msimamo katika ishu za rasilimali za Umma, Nimeangalia mauahi haya yamezidi zaidi kipindi hiki tupo katika mgogoro wa Masuala ya Madini, nahofia isije ikawa ni meseji kutoka kwa Mabeberu kwamba look " We can destabilize you if you don't comply with us".
Pia ukiangalia jinsi tulivyogoma kusaini Mkataba wa EPA, mabeberu hawakufurahi maana sisi Watanzania tumetibua mpango wao wa kutukamata kiuchumi mazima!
Nimesoma kitabu cha The Confensions of an economic hitman" ( kinapatikana freely online) kinaelezea mbinu kibao hawa mabeberu kupitia majasusi wao wanachoweza kukifanya.
Kwa hiyo ni muhimu sana Wakati Intelijensia ikichambua matukio yanayoendelea Kibiti na Mkuranga, isiache kuchunguza kama kuna mkono wa Mabeberu kipitia sleeper cells zao mbalimbali ambazo nyingine zipo nchini kama NGOs zinahusika. Inabdi wachunguze historia za wageni wote walioingia hapo Kibiti miaka hadi kumi nyuma, waangalie walikuja kufanya nini, walimuona nani na walienda wapi, hata kama ni wale peacecops, au hata watu wa dini n.k
Tuwe makini sana Economic hitmen wapo.
Jiulize kwa nini Mauaji yamezidi baada ya sisi kugoma kusaini ishu za EPA na kufuatilia mambo ya dhahabu?. Huenda ni meseji kwetu kwamba we can bring chaos to you if you mess with us!
I am thinking though!