Mauaji ya Kibiti na Mkuranga, Je ni kuna mkono wa Mabeberu?

Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
May 1, 2007
7,022
9,285
Bila shaka Tanzania sasa chini ya Raisi wetu Magufuli imeamua kuwa sasa tunataka rasilimali za nchi hii ziinufaishe nchi kwanza!.

Ukifuatilia kwa makini jinsi mabeberu wanavyooperate utagundua kwamba kuna pattern fulani huitumia ikiwemo,
1. Kununua viongozi na watu muhimu kwenye jamii ya nchi hiyo, ikishindikana hilo
2. Hutumia mashirika ya kimataifa na Cartels zao kuzinyima nchi bishi mikopo/ misaada au kutonunua bidhaa zao ili zikose pesa za kigeni, ili hatimaye nchi hizo zinyooshe mkono na kusurrender

3. Hufadhili vikundi vya kuleta sintofahamu katika nchi, kufanya mauaji au hata Uasi

4. Hutafuta kuwadhuru viongozi wakubwa

5. Wakishindwa mbinu zote Huamua kuingia kijeshi kwa kutumia mabaraza yaleyale ya Kibeberu kama security councils au Wakishindwa huko Huamua kuja kibabe tu kama walivyoenda Iraki bila kujali kauli ya mtu yoyote.

Sasa mimi nikiangalia trend ya matukio ya Kibiti na Mkuranga, nahofia isije ikawa ni mbinu za Mabeberu kutaka Kumblackmail Mzee alegeze msimamo katika ishu za rasilimali za Umma, Nimeangalia mauahi haya yamezidi zaidi kipindi hiki tupo katika mgogoro wa Masuala ya Madini, nahofia isije ikawa ni meseji kutoka kwa Mabeberu kwamba look " We can destabilize you if you don't comply with us".

Pia ukiangalia jinsi tulivyogoma kusaini Mkataba wa EPA, mabeberu hawakufurahi maana sisi Watanzania tumetibua mpango wao wa kutukamata kiuchumi mazima!

Nimesoma kitabu cha The Confensions of an economic hitman" ( kinapatikana freely online) kinaelezea mbinu kibao hawa mabeberu kupitia majasusi wao wanachoweza kukifanya.

Kwa hiyo ni muhimu sana Wakati Intelijensia ikichambua matukio yanayoendelea Kibiti na Mkuranga, isiache kuchunguza kama kuna mkono wa Mabeberu kipitia sleeper cells zao mbalimbali ambazo nyingine zipo nchini kama NGOs zinahusika. Inabdi wachunguze historia za wageni wote walioingia hapo Kibiti miaka hadi kumi nyuma, waangalie walikuja kufanya nini, walimuona nani na walienda wapi, hata kama ni wale peacecops, au hata watu wa dini n.k

Tuwe makini sana Economic hitmen wapo.

Jiulize kwa nini Mauaji yamezidi baada ya sisi kugoma kusaini ishu za EPA na kufuatilia mambo ya dhahabu?. Huenda ni meseji kwetu kwamba we can bring chaos to you if you mess with us!

I am thinking though!
 
Polisi haina weledi only that.
Tiss ni Jumuia ya CCM, IPO kutekeleza ilani ya chama na swala LA Kibiti Balimi kwenye ilani.
JWTZ wameenda Kibiti tayari, sijui Mafunzo ya kupasua mawe kwa kichwa yataweza kusaidia kumzuia muuaji asiyeonekana?
 
Mpaka sasa nadharia zinazo ingia akilini mwangu kuhusu mauaji ya kibiti ni mbili tu:

  • Inaweza kuwa mauaji yanasababishwa na mataifa ya nje au
  • Ni matokeo ya misimamo mikali kama ya dini, kikabila, kikanda, kisiasa na nk. (extremism)
 
Yaani hao mabeberu wahangaike na hao wala vumbi wa Mkuranga huko?

Au ndivyo Mange alivyosema?
Kasome kitabu kinaitwa Spies Armageddon:Inside Israel's Secret Wars. Kasome uelewe utoe ujinga. Ni umbali gani Mkuranga mpaka katika ya mji?
 
Hicho kitabu ndo kinajua nani anaowaua hao watu?
Sikukwambia hicho kitabu kinasema nani anaua? Nilijibu hoja swali/hoja yako uliyosema mawakala wa mabeberu hawawezi kuhangaika na watu wa huko. Mimi nilichokujibu soma hiko kitabu upate elimu. Kwa sababu unaweza ukasema jambo ambalo elimu nalo huna. Yani hapo kwa ufupi sijataka kutoa maneno yangu. Nashangaa unakuja kuniuliza kuwa kitabu kinataja wauaji? Ushauri wangu pitia hiko kitabu, au ulizia kwa watu wenye uelewa wa hayo mambo watakuelewesha.
 
tutafute wauaji tuache kufikiria katika akili ndogo.
husikii nao wanashambuliwa na magaidi na wanauwezo wa kudetect muuaji kwa muda mfupi ni nani na alingia nchini mwao lini
 
Bila shaka Tanzania sasa chini ya Raisi wetu Magufuli imeamua kuwa sasa tunataka rasilimali za nchi hii ziinufaishe nchi kwanza!.

Ukifuatilia kwa makini jinsi mabeberu wanavyooperate utagundua kwamba kuna pattern fulani huitumia ikiwemo,
1. Kununua viongozi na watu muhimu kwenye jamii ya nchi hiyo, ikishindikana hilo
2. Hutumia mashirika ya kimataifa na Cartels zao kuzinyima nchi bishi mikopo/ misaada au kutonunua bidhaa zao ili zikose pesa za kigeni, ili hatimaye nchi hizo zinyooshe mkono na kusurrender

3. Hufadhili vikundi vya kuleta sintofahamu katika nchi, kufanya mauaji au hata Uasi

4. Hutafuta kuwadhuru viongozi wakubwa

5. Wakishindwa mbinu zote Huamua kuingia kijeshi kwa kutumia mabaraza yaleyale ya Kibeberu kama security councils au Wakishindwa huko Huamua kuja kibabe tu kama walivyoenda Iraki bila kujali kauli ya mtu yoyote.

Sasa mimi nikiangalia trend ya matukio ya Kibiti na Mkuranga, nahofia isije ikawa ni mbinu za Mabeberu kutaka Kumblackmail Mzee alegeze msimamo katika ishu za rasilimali za Umma, Nimeangalia mauahi haya yamezidi zaidi kipindi hiki tupo katika mgogoro wa Masuala ya Madini, nahofia isije ikawa ni meseji kutoka kwa Mabeberu kwamba look " We can destabilize you if you don't comply with us".

Pia ukiangalia jinsi tulivyogoma kusaini Mkataba wa EPA, mabeberu hawakufurahi maana sisi Watanzania tumetibua mpango wao wa kutukamata kiuchumi mazima!

Nimesoma kitabu cha The Confensions of an economic hitman" ( kinapatikana freely online) kinaelezea mbinu kibao hawa mabeberu kupitia majasusi wao wanachoweza kukifanya.

Kwa hiyo ni muhimu sana Wakati Intelijensia ikichambua matukio yanayoendelea Kibiti na Mkuranga, isiache kuchunguza kama kuna mkono wa Mabeberu kipitia sleeper cells zao mbalimbali ambazo nyingine zipo nchini kama NGOs zinahusika. Inabdi wachunguze historia za wageni wote walioingia hapo Kibiti miaka hadi kumi nyuma, waangalie walikuja kufanya nini, walimuona nani na walienda wapi, hata kama ni wale peacecops, au hata watu wa dini n.k

Tuwe makini sana Economic hitmen wapo.

Jiulize kwa nini Mauaji yamezidi baada ya sisi kugoma kusaini ishu za EPA na kufuatilia mambo ya dhahabu?. Huenda ni meseji kwetu kwamba we can bring chaos to you if you mess with us!

I am thinking though!
ivi kweli waona ccm wako serious. CCM waliuza nchi kwasababu wapate sapoti ya wazungu hawawezi kwenda kinyume ikiwa kweli wako na imani na nchi hii walete katiba ya warioba
 
Mabeberu ya mbuzi au ?
 
Polisi haina weledi only that.
Tiss ni Jumuia ya CCM, IPO kutekeleza ilani ya chama na swala LA Kibiti Balimi kwenye ilani.
JWTZ wameenda Kibiti tayari, sijui Mafunzo ya kupasua mawe kwa kichwa yataweza kusaidia kumzuia muuaji asiyeonekana?

unawaza pombe tu
 
Back
Top Bottom