Shame on cdm.
Mmewaponza watu wasio na hatia na sasa mnataka kutumia misiba yao kisiasa.
Mkakati huu mnaoutumia wa kuponza watu wasio na hatia wafe ili mpate mileage za kisiasa ni wa kishetani.
Mmeshapata laana na kamwe hamtafanikiwa kama chama cha siasa.
Au ndio matambiko ya biashara zenu za mahoteli, madanguro, casinos na guest houses?
Mafanikio ya biashara si lazima uue mtu....one day you will pay for it.
Naona ametumia sentensi mbili tu kuhusu tukio la Arusha, lakini hasa lengo lake lilikuwa kulialia kwa wahisani na kuomba misaada zaidi na kujisifia "uchaguzi wa haki na amani" nyimbo ambayo tumekuwa tukichombezewa nayo miaka 49 sasa.
Ukichelewa kwenda Muhimbili iko siku utajikuta uko MIREMBE! Nenda Hospitali unaumwa wewe!
Kikwete, I am sorry but I hate you. I dont have means to kill you but I will be happy if by any how you will perish suddenly.
I NEVER LIKED YOU AND I WILL NEVER LIKE. YOU ARE EVIL WITH YOUR GROUP i.e EL, RA, CHENGE AND OTHERS.
TANZANIA IS MUCH BETTER THAN WE ARE.
YOU ARE LIVING BECAUSE ITS ILLEGAL TO KILL YOU. PERIOD
JMK, nakusihi Mh. Rais wangu mpendwa, wakifanya maandamano tena, bila ya ruhusa. Wafungiwe kabisa hiki chama cha fujo na kisicho na uzalendo wala hakijali mamlaka za serikali, leo wanatuletea mpaka wa Kenya kuja kuandamana! hawa ni balaa kubwa sana katika nchi yetu tulivu.
Tumeishi kwa taabu na mashaka makubwa kutoka enzi za Nyerere, tukapata ahueni wakati wa Mwinyi, Tukaanza kuibiwa vibaya sana wakati wa Mkapa, sasa JMK unatuletea mema, hawa wanataka kutuletea maovu.
Rais Kikwete leo ametoa tamko lake huku akisikitishwa na tukio la Arusha lililosababisha mauaji ya raia wawili na kuacha mali za mamilioni ya shilingi zikiharibiwa.
Kikwete ameonesha ukomavu mkubwa wa kisiasa tofauti na mtangulizi wake BWM ambaye hakuonesha kusikitishwa na mauaji ya Pemba yaliyopoteza maisha ya watu 27 zaidi ya kuendelea kuwalaumu viongozi wa CUF.
SOURCE: HABARI TBC1
kitu ambacho sielewi ni kuwa yanapotokea mabaya wanajaribu kutenganisha ccm na serikali; yakitokea mazuri ya serikali ccm hutamba kuwa ni "serikali ya ccm". Ndio maana sikumuelewa kabisa vuai jana! Alikuwa anazungumza kana kwamba yaliyofanywa hayahusiani na chama kilichoko madarakani.
Rais Kikwete leo ametoa tamko lake huku akisikitishwa na tukio la Arusha lililosababisha mauaji ya raia wawili na kuacha mali za mamilioni ya shilingi zikiharibiwa.
Kikwete ameonesha ukomavu mkubwa wa kisiasa tofauti na mtangulizi wake BWM ambaye hakuonesha kusikitishwa na mauaji ya Pemba yaliyopoteza maisha ya watu 27 zaidi ya kuendelea kuwalaumu viongozi wa CUF.
SOURCE: HABARI TBC1
Wakati Mandela kule Afrika ya Kusini akiongoza mapambano ya kudai uhuru zidi ya makaburu kuna baadhi ya waafrika wenzake walikuwa wanamkebehi. Walipenda na kufurahia kuona manyanyaso zidi ya weusi. Lakini Nguvu ya umma na kelele za kimataifa zilisaidia Mandela kutoka jela na uhuru wa kweli kwa Zuid Afrika. Kwa hiyo nie wala hamtazuia mapinduzi ya kweli Tanzania.