Matumizi ya r na l

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by AZIMIO, Mar 1, 2012.

 1. A

  AZIMIO JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Najua itakuwa ngumu kueleweka kwa urahisi kwa sababu baadhi ya makabila hayawezi kutenganisha kati ya R na L.
  Hivyo naomba mwenye utalaamu mzuri wa kuelezea aweze kunisaidia kwa faida yangu na wenginewengi, huwa napata tabu sana kwenye hizi herufi.Asanteni
   

Share This Page