Matumizi ya neno ''Mheshimiwa'' kwa viongozi wenye nyadhifa

Dah naona kuna haja ya waheshimiwa kupimwa akili au kama wanatumia madawa ya kulevya
 
Naona waitane '''Mchizi wangu.....''' au '''Chizi ........''' Ingekuwa inasound poa kutokana na kiwango chao cha kiutendaji kazi.
 
Usipitanguliza hili neno " Mheshimiwa" nakwambia hivi kama uko ofisini unafutwa kazi. Niamini kabisa, iliwahi kutokea ofisini kwetu alikuja mhe. mie sikutambua kama ni "mheshimiwa sana" mbona nilikoswakoswa ni busara ya boss tu ndio ilinikoa. We wanaone hivyo hivyo na matusi yao hadharani bado anataka kuitwa Mhe.
 
Kwa kweli SELU-THREAD ameharibu hali ya hewa. Labda waanze kuitana HAILEEEEEE HAILEEE kama wapiga majani wengine
 
Mtu anayeitwa muheshimiwa alafu anatumia 'F' words anasababisha watoto wetu watumie matusi kama haya ili nao waitwe waheshimiwa kama wabunge wa ccm.

Tubadili namna ya kuwaita hawa wabunge.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Samahani kama nilisikia peke yangu, nilimsikia Juma Nkamia akiwaita ni MBWA. Sasa nashangaa nyie hamjatilia maanani title hiyo, Mfano halisi "MBWA JUMA NKAMIA" Na mbaya zaidi alisisitiza kuwa ni MBWA alipokataa kufuta kauli hiyo, Asante Mbwa Nkamia
 
Sasa wabunge wachache wasababishe wengine kuvuliwa heshima zao kama wabunge?
Tujaribu kukaa mbali na tabia ya kumistake the container for the content.
Mbunge mmoja sio wabunge, na sio bunge. Mbunge akichafuka bunge halijachafuka.
 
katika uongozi kuna kitu kinaitwa collective responsibility, kwa mfano jambo likiamuliwa na wengi ndani ya baraza la mawaziri au bunge linachukuliwa kama limekubaliwa na wote,hata kama wakati wa majadiliano au uamuzi wapo waliopinga hadi mishipa ya shingo ikadinda lakini wengi wakikubali inachukuliwa kama wote mmepitisha azimio hilo! ndivyo hivyo najaribu kumithilisha na suala la matusi bungeni, hata kama ni wachache ndo wanaotukana lakini wengi wakanyamaza bila kuonesha kupinga waziwazi,ukimya wa wabunge wengi pamoja na viongozi wao(spika na naibu wake) inafanya tuamini wabunge wengi wanakubaliana na maovu hayo! otherwise tuone wabunge wengi kama sio wote wakipinga kwa nguvu zote upuuzi huo bila kujali itikadi za vyama vyao!
 
Hebu tuchunguze hao wenye kutukana huo ubunge waliupatapataje kwanza.
 
Samahani kama nilisikia peke yangu, nilimsikia Juma Nkamia akiwaita ni MBWA. Sasa nashangaa nyie hamjatilia maanani title hiyo, Mfano halisi "MBWA JUMA NKAMIA" Na mbaya zaidi alisisitiza kuwa ni MBWA alipokataa kufuta kauli hiyo, Asante Mbwa Nkamia
Mkuu imekaa vema lakini wengine kumtamkia binadamu mwenzio neno hilo mdomo haujazoea.
 
Kwani hujui kama ndio sababu yakupendekeza bangi ihalalishwe?!.
Mkuu BANGI ni dawa, yawezekana ukosefu wake ndio madhara haya tuyaonayo. Tumbaku ni sumu na inawezekana hao ni wavuta tumbaku wazuri tuu, chunguza hapo.
 
Wataalamu wa lugha watujuze maana halisi ya neno mheshimiwa na kama linaendana na matendo, lugha za wabunge wetu wakiwa bungeni na hata uraiani.Kwa sasa bila kuangalia ni chama gani, matumizi ya lugha na ustaarabu wa wabunge kitathiminiwa kwa mahesabu ya haraka ni ZERO RATED.

Ni kwa nini mbunge amuite mwenzie mheshimiwa na baadae amporomoshee tusi linaloondoa wadhifa wa uheshimiwa. Mfano, Siongei na mbwa, wanamimba zisizotarajiwa, F-ck---u
 
Ndugu zanguni ni bora mtu akujeruhi kwa panga au kisu unaweza ukauguza jeraha na likapona na kovu ikapotea.Lakini Tusi halifutiki milele litakuwemo ndani ya nyoyo za watu.Matusi yanayo poromoshwa na hawa wafilisi wa nguvu za Watanzania (MBWA) hayawezi kufutika kwa kuomba radhi.
 
Mkuu imekaa vema lakini wengine kumtamkia binadamu mwenzio neno hilo mdomo haujazoea.

Hata mimi nashindwa kumwita Mheshimiwa wakati mambo anayofanya ni bora hata ya SHETANI.
Kuhusu hawa jamaa kujiita MBWA ni kwa kauli zao Juma Nkamia aliwaita hivyo wabunge wenzie siyo mimi au hukuangalia bunge last week??? These people mbele za Mungu ni watu muhimu sana kwenye jamii ni watunga sheria kwanza hawakutakiwa hata siku moja kunyosheana vidole, walitakiwa kuwa kama malaika, lakini leo nakubali yaishe kwani walishataka bunge lisionyeshwe LIVE wakiwa na nia ya kutukanana vizuri, wananchi tukalalamika kuwa lazima bunge lionyeshwe LIVE leo hii nakubali kuzima TV sitaki kuona bunge hili maana matusi yao hakua tofauti na WALEVI WA KOMONI KWENYE VILABU VYA POMBE.
 
Komoni! Mkuu hapo uombe radhi, unaidhalilisha pombe yetu mzuri ya ASILI. Hilo la kuitana MBWA ............. linahitaji mazoea tu nadhani. Tutazoea si pana watu wenye majina ya Simba, Katembo, Matatizo,n.k.?
 
Back
Top Bottom