Matumizi ya neno ''Mheshimiwa'' kwa viongozi wenye nyadhifa

nyerere ndiye chanzo cha matatizo tuliyonayo huyu mzee sitaki hata kusikia habari zake.

:A S thumbs_down: :A S thumbs_down: :A S thumbs_down: :A S thumbs_down: :A S thumbs_down: :A S thumbs_down: :A S thumbs_down: :A S thumbs_down: :A S thumbs_down: :A S thumbs_down: :A S thumbs_down:
 
Leo katika maswali yaliyovuta hisia bungeni ni swali la Mh Machali lililoulizwa kwaniaba yake na Mkosamali ambaye aliuliza pia maswali ya nyongeza. Kwa ufupi alikuwa mkali kwa serikali ipeleke mswada bungeni ili kuwatambua wabunge katika orodha ya viongozi wakupatiwa ulinzi maalum na serikali. Akijibu maswali ya nyongeza Lukuvi alimshauri Mkosamali kulipeleka kwenye kamisheni ya bunge ili litazamwe. Hebu tujadili ni kweli wabunge wetu wanastahili ulinzi kuliko ilivyo sasa?
 
Wangeteuliwa wabunge wachache wa kulindwa.
Mfano kama Komba atalindwa kwa shida gani!
Hata atembee usiku wa manane hakuna wa kumdhuru.
 
lazima waombe ulinzi kwani wanajua wananchi wana hasira nao waliomba kurawatumikie wananchi badala yake wanajinufaisha binafsi wamesoma alama za nyakati
 
Leo wabunge wanataka wapewe walinzi wakati Muhimbili wanachekelea kupewa mashine ya kusafisha damu toka India daah! imenifanya nijiulize mara kadhaa kweli wabunge wetu wanajua wanachokitetea? maana huku watu wakifia muhimbili kwa ukosefu wa vifaa vya kitibabu na juzi tu wabunge hawa wamepitisha bajeti ya wizara ya afya. Wabunge hao hao wanataka ULINZI
 
Attachments

  • damu.jpg
    damu.jpg
    85.3 KB · Views: 233
  • damu2.jpg
    damu2.jpg
    93.7 KB · Views: 224
  • damu3.jpg
    damu3.jpg
    71.7 KB · Views: 198
wewe unatarajia nini kwa wabunge kama akina komba, lema, sugu, kibajaji, prof, maji mafupi ongezea list,,,,,
hata sishangai kabisa.

Leo wabunge wanataka wapewe walinzi wakati Muhimbili wanachekelea kupewa mashine ya kusafisha damu toka India daah! imenifanya nijiulize mara kadhaa kweli wabunge wetu wanajua wanachokitetea? maana huku watu wakifia muhimbili kwa ukosefu wa vifaa vya kitibabu na juzi tu wabunge hawa wamepitisha bajeti ya wizara ya afya. Wabunge hao hao wanataka ULINZI
 
yaani hiyo ni hoja ya kipuuzi kabisa. wapewe ulinzi kwa kazi ipi? yakwenda kusign posho pale bungeni? au? upuuzi kabisa.

Leo katika maswali yaliyovuta hisia bungeni ni swali la Mh Machali lililoulizwa kwaniaba yake na Mkosamali ambaye aliuliza pia maswali ya nyongeza. Kwa ufupi alikuwa mkali kwa serikali ipeleke mswada bungeni ili kuwatambua wabunge katika orodha ya viongozi wakupatiwa ulinzi maalum na serikali. Akijibu maswali ya nyongeza Lukuvi alimshauri Mkosamali kulipeleka kwenye kamisheni ya bunge ili litazamwe. Hebu tujadili ni kweli wabunge wetu wanastahili ulinzi kuliko ilivyo sasa?
 
Hivi huyu mkosamali amekuwa mkosaakili?wabunge watekeleze wajibu wao kwa njia ya haki hawatakuwa na maadui na hivyo ulinzi hautahitajika!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom