TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 23,914
- 23,079
Yes. This is very tricky to some of parents.
shida ni kwamba madogo siku hizi usanii mwingi akiona kimenuka anakupa mnamba wa mtu mwingi, bora majina bana kitu gani kwan, hii wizara inashindwa kuwa na msimamo..
Mimi dogo kaniambia ana one ya 16 na najua kilaza kanitajia namba
Yakitumika majina waislamu huwa wanalalamika... acha ibaki hivyo hivyoBaada ya baraza la mitihani kuamua kutoa matoke ya mitihani kwa kutumia namba badala ya majina wazazi wanapata taabu kupata matokeo toka wale watoto watukutu
Nionavyo mimi haki yao watahiniwa matokeo kuwa siri yao ila ni wajibu wao pia kuwa wakweli kwa wazazi na walezi wao
Thats the reason behind.Lazima wakumbuke kuwa wazazi we2 watalaghaiwa kwa kupewa matokeo feki na vijana wa digital.Mimi nadhani ni yale matokeo ya mtoto wa mkuu mwana nini sijui ile mwaka jana, maana kuona jina tu mh jf pakawa hapatoshi!
Hii ni Jangwani niijuayo au mpya ya kata?dah jamani matokeo ya mwaka huu ni mabaya eh eh eh...............kwa style hii taifa linaangamia
S0204 JANGWANI SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 4 DIV-II = 28 DIV-III = 54 DIV-IV = 101 FLD = 105