Matumizi sahihi ya Home theatre Nyumbani

Kama unataka mziki uliotulia kwa nyumbani kwako basi usihangaike na hivyo vingine mziki wa kistaarabu na wa heshma nunua home theatre ila kama unataka mziki kwa ajiri ya kusikiliza singeli ili nyumba ya jirani wakusikie nenda kwenye hizo high fidelity audio system. Ila kwangu mie HOME THIETRE NDIO THE BEST MUSIC.... HIZO NYINGINE TUPA KULE SINA PUB KWA NYUMBA YANGU.
 
HAKUNAGA KAMA HOME THIETRE HASWA UPATE YA SONY LG AMA SUMSUNG.... UTAINJOY MSIC MZURI SANA WENYE HADHI NA HESHIMA HATA AINGIAPO MGENI NYUMBANI ATAINJOY KUSIKILIZA MZIKI MZURI...... ILA SIO KWA HIZO NYENZE WALAHI AKIINGIA MGENI ATAOMBA KUONDOKA DKK O COZ NI KELELE TU ZITATAWALA HAPO HATA UKIWEKA NYIMBO ZA COUNTRY ATAHISI UMEWEKA SINGERI ZAKINA MAN FONGO HAINAGA USHEMEJI.
 
Changamoto kubwa ni ubora wa hizi music system..unanunua leo umepata music mzuri siku mbili ishaanza kukoroma na kupoteza ubora wake kabisa...Mtoa mada kwa uzoefu wako unaweza kushauri brand gani nzuri kuliko ingine?
Sony
 
HAKUNAGA KAMA HOME THIETRE HASWA UPATE YA SONY LG AMA SUMSUNG.... UTAINJOY MSIC MZURI SANA WENYE HADHI NA HESHIMA HATA AINGIAPO MGENI NYUMBANI ATAINJOY KUSIKILIZA MZIKI MZURI...... ILA SIO KWA HIZO NYENZE WALAHI AKIINGIA MGENI ATAOMBA KUONDOKA DKK O COZ NI KELELE TU ZITATAWALA HAPO HATA UKIWEKA NYIMBO ZA COUNTRY ATAHISI UMEWEKA SINGERI ZAKINA MAN FONGO HAINAGA USHEMEJI.
Sijui kama una utaalam na muziki au unatoa hisia zako kaa vile mtu aliebanwa kidole mlangoni basi machozi hutoka

Hata home thietre ukiamua iwe na makelele inakuwa. Hv kuna vifaa vya sauti vina kelele kama sub-woofer?

Hi-fi ina muziki Murua kabisa. Labda kama hujawai iona isipokuwa kupita bar ukiona speaker zipo loud unajua kelele, unashindwa tofautisha setting katika mazingira

Kwa faida yako tembea studio zote za muziki na kutengeneza movies duniani, hutokuta Home thietre kaa kipimo cha mziki, izo speaker unazosema zina kelele (kwakuwa hujui) ndio hutumika studio kusikiliza izo country music wakati zinatengenezwa.

Nenda hoteli na ofisi kubwa ambako wanapiga mziki laini na wakuvutia, blue n.k uone je hizo wanazoweka ni home thietre? Ukikuta home thietre njoo nikupe zawadi. Popots pale walipofunga sound ya indoor kitaalamu kuna Hi-fi sound.

Elimu bure ifanyie kazi. Uwezi komaa na woofer zako za kichina unajifariji kuwa unasikiliza muziki
 
Asante kwa uchambuzi mzuri.

Mimi huwa napenda sana soundbars. Zipo portable na ikiwa charged, utasikiliza music hata kama hakuna umeme.

Maelezo yako ya quality ya music yana apply hata katika soundbars.

Asante.
 
wengine hizi soundbars hatuzielewi,hivi zina nini cha ziada
 
Soundbar inakua na speaker angalau 3, 4 na kuendelea kutegemea na ukubwa wa soundbar yenyewe. Inakua angalau speaker ya midi, bass na stereo ndani.

Kwa sababu hizi speaker zote zinakua ndani ya bar moja na huzioni, quality ya music inayotoka inakua nzuri sana.
Pia, soundbar inakua na bluetooth na una connect na simu yako unasikiliza music, ina sehemu ya cable ya kuunganisha kwenye Mp3/Mp4 player, laptop n.k., na pia ni ya kucharge. Mfano, nyingine zina mpaka masaa 16 ya play time (yaani masaa 16 unapika music tu non stop).

Nyingi zina ukubwa wa wastani, kwa hiyo ni rahisi kuibeba na kutembea nayo.

Haya ni maoni yangu.

Nakaribisha wengeni kuongezea.
 
mbona nishaona soundbar ina woofer inayojitegemea yenyewe-sasa hiyo soundbar peke yake inaweza toa bass??
 
Sijui kama una utaalam na muziki au unatoa hisia zako kaa vile mtu aliebanwa kidole mlangoni basi machozi hutoka

Hata home thietre ukiamua iwe na makelele inakuwa. Hv kuna vifaa vya sauti vina kelele kama sub-woofer?

Hi-fi ina muziki Murua kabisa. Labda kama hujawai iona isipokuwa kupita bar ukiona speaker zipo loud unajua kelele, unashindwa tofautisha setting katika mazingira

Kwa faida yako tembea studio zote za muziki na kutengeneza movies duniani, hutokuta Home thietre kaa kipimo cha mziki, izo speaker unazosema zina kelele (kwakuwa hujui) ndio hutumika studio kusikiliza izo country music wakati zinatengenezwa.

Nenda hoteli na ofisi kubwa ambako wanapiga mziki laini na wakuvutia, blue n.k uone je hizo wanazoweka ni home thietre? Ukikuta home thietre njoo nikupe zawadi. Popots pale walipofunga sound ya indoor kitaalamu kuna Hi-fi sound.

Elimu bure ifanyie kazi. Uwezi komaa na woofer zako za kichina unajifariji kuwa unasikiliza muziki
Naona umemeamu kuja na tangazo lako la biashara kiana. haya waelezee umesoma chuo gani cha kujua music mzuri ni upi na muziki mbay ni upi...... Au unaleta hisia za kikabachori hapa unanusa andazi afu unasema nasikia tumbua nanukia
 
Sijui kama una utaalam na muziki au unatoa hisia zako kaa vile mtu aliebanwa kidole mlangoni basi machozi hutoka

Hata home thietre ukiamua iwe na makelele inakuwa. Hv kuna vifaa vya sauti vina kelele kama sub-woofer?

Hi-fi ina muziki Murua kabisa. Labda kama hujawai iona isipokuwa kupita bar ukiona speaker zipo loud unajua kelele, unashindwa tofautisha setting katika mazingira

Kwa faida yako tembea studio zote za muziki na kutengeneza movies duniani, hutokuta Home thietre kaa kipimo cha mziki, izo speaker unazosema zina kelele (kwakuwa hujui) ndio hutumika studio kusikiliza izo country music wakati zinatengenezwa.

Nenda hoteli na ofisi kubwa ambako wanapiga mziki laini na wakuvutia, blue n.k uone je hizo wanazoweka ni home thietre? Ukikuta home thietre njoo nikupe zawadi. Popots pale walipofunga sound ya indoor kitaalamu kuna Hi-fi sound.

Elimu bure ifanyie kazi. Uwezi komaa na woofer zako za kichina unajifariji kuwa unasikiliza muziki
Huwezi ni badilisha kwenye home THIETRE miaka 100000. Wewe tumia hizo hi-fi zako sijui wi fi. Ufurahie hizo nyenze kama upo pub
 
Kama unataka mziki uliotulia kwa nyumbani kwako basi usihangaike na hivyo vingine mziki wa kistaarabu na wa heshma nunua home theatre ila kama unataka mziki kwa ajiri ya kusikiliza singeli ili nyumba ya jirani wakusikie nenda kwenye hizo high fidelity audio system. Ila kwangu mie HOME THIETRE NDIO THE BEST MUSIC.... HIZO NYINGINE TUPA KULE SINA PUB KWA NYUMBA YANGU.
Kama unataka ku enjoy kusikiliza mziki mzuri basi ni hi-fi sound system inahusika maana utasikia kila chombo cha music kilichotumika na masikio yako yataburudika. Home theater ni kwaaji ya kusikilizia movie uta enjoy movie yako vizuri sana.
 
Back
Top Bottom