zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,910
Ribosome acha uongo Tanzania haina % yoyote ya share kwenye migodi ya madini, tunachopata mpaka sasa ni hiyo 4% na hizo indirect tax ambazo kimsingi ni watanzania wenyewe huzilipa, tunataka sasa kuwe na utaratibu wa nchi kumiliki angalau 25% ya share ili tuweze kupata angalau sehemu ya mapato wanayovuna wawekezaji. Angalia Tanzanite One wame-declare uvunaji wa carrat 2.5million ilhali royalties iliyolipwa ni usd 400,000 tu! Kama si ufisadi wa kuhongwa kopo la peanut butter wakati unaruhusu gunia la karanga kuibwa tulipaswa kukusanya angalau usd 6.5million kwa grade ya chini kabisa.
Tatizo hujui unachokisema, unakisia tu.
Ni mtaji gani Tanzania unaolipiwa kodi?