Matukio, vituko, shuhuda na taarifa zoezi la sensa!

Rwaz

JF-Expert Member
May 3, 2013
1,997
3,392
Nawasalimia kwa jina la Tanzania.

Bila shaka kila mdau anaelewa zoezi la sensa kama aina ya utafiti ilivyo ni nyeti na lina makorokoro mengi hadi ya kiimani.

Kuna mambo mengi ambayo tunaweza kushirikishana kabla, wakati na baada ya zoezi.

Binafs niliwai kushiriki utafiti mkubwa kuhusu watu na hali zao kwa wana kaya maalum baada ya miaka 10 ya utafit wa awali, (KHDS- 1 to KHDS-2),chini ya udhamini wa benki ya dunia via EDI na wabia kadhaa wa ndan na nje miaka ya 2004, makao makuu yakiwa kagera.

Kifup kwa vile kila mdau wa awali lazima ahojiwe , awe ndan au nje ya nchi, tena dodoso kubwa sana la kila sekta ya mwanadam hadi masaa 2 hadi 24 kumaliza kaya, nikajikuta interviewee wangu yupo kampala na ni kahaba huko kabalagala.

Baada ya kumfuata huko huko akawa hatoi ushirikiano ilibid nimnunue tuhojiane hotelini nipate namna ya kupata taarifa zake mana asingekubali kutoka "kazini"! lakin sikumfanya kitu nilkuwa kikazi zaid!

Nilichojifunza katika zoezi zima ni kuwa hakuna dhambi kubwa kama KUPIKA DATA!

Madhara yake ni collateral damage.

Pia ni kudhalilisha uwezo wako binafs wa kufikiri, kana kwamba kazi ya kufanywa na binadam kapewa nguruwe!

LIVE RESPONSIBLY!
 
mimi bado sijawaona hao watu, nasikia wameshika tablet, noma sana
 
Back
Top Bottom