Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Hawa jamaa ndiyo wataanzisha Fujo! Kwanin wanashindwa kutangaza matokeo??? au wanasubiri wachakachue?????
 
Wameanza kutangaza ndugu, majimbo 3 tayari na Magufuli anaongoza kwa 75% mpaka sasa. Matokeo mengine yatakuwa saa sita kamili mchana.
 
wavumilien wameanza kwa kujiliwaza kwanza...wameenda kula washibe ndo waje watangaze matokeo ya president lowasa
 

Kuanzia Kesho MH RAIS LOWASSA. Ahandae Faili La Kumfukuza Kazi MKURUGENZI Mkuu Wa TBC BW Clement Mshana.
Na maalim seif aishughulikie ZBC ,toka jana tunachezeshewa taarab! yaani ya Zanzibar tunayapata kupitia vituo vilivyopo nje ya Zanzibar!
 
Huo ni upuuzi...katika dunia ya teknolojia kama hiki matokeo zaidi masaa 24!!!?
 
Back
Top Bottom