Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Dalili zote zinaonesha anakwenda kuagukia pua. Mikoa yote aliyoitegemea yaani Dar Salaam, Arusha, Kilimanjaro na Mbeya Magufuli kamkaba koo. Mikoa ya Magufuli anaambulia kiduchu. Kwaheri mzee wa Monduli.
 
....Siasa ni uvumilivu tulikubali Demokrasia ...tuiache Demokrasia itende kazi yake !!!

Earthmover safarini Tarime .....
 
duuh inauma sana..!mpaka sasa majmbo ya ILEMELA(kwa udiwan ccm=kata 16 kat ya 19) na NYAMAGANA yamerud CCM
 
wadau najiuliza ni vigezo gani vinatumika kupata majimbo? tafadhali kwa mwenye uelewa anihabarishe (case study hii hapa chini).

(Mkoa wa Kilimanjaro una una jumla ya majimbo ya uchaguzi 9 ambayo ni
Hai
Siha
Moshi Mjini
Mwanga
Same Mashiriki
Same Magharibi
Moshi Vijijini
Vunjo
Rombo

Mkoa wa Arusha una jumla ya majimbo ya uchaguzi 7 ambayo ni
Arusha
Karatu
Arumeru Magharibi
Arumeru Mashariki
Longido
Monduli
Ngorongoro)
 
Niandike wakala huu, nikiwa na imani 100% kuwa, Majimbo mliyotangaza matokeo ya awali ni majimbo ambayo mnaona CCM wanaongoza na kuskip majimbo ambayo UKAWA wanaongoza,

Tunaomba matokeo ya awali kutoka majimbo mikoa ya MBEYA, MOSHI, na MWANZA ambako kuna idadi kubwa ya watu,
Asanteni.


youngsharo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom