Kwa hiyo unataka tupige kelele? Siai ni watu wa mikakati zaidi. Endeleeni kupiga kelele mkichoka mtanyamaza. Magufuli ushindi ni daima
Nimefarijika Sana kwanza yaliyomsibu Wasira na Ole Sendeka!!!
Angalau wewe umejitokeza wenzako wanasikilizia kwa mbali,Kwa hiyo unataka tupige kelele? Siai ni watu wa mikakati zaidi. Endeleeni kupiga kelele mkichoka mtanyamaza. Magufuli ushindi ni daima
ni habari njema sana Ole Sendeka kuondoka, yale majivuno ampelekee mkewe na wanaeHa ha ha ha.....hii sio 2005, ng'oa kabisa visiki vyote bunda, simanjiro nk..
Mikakati tena Mkuu, sio kutegemea kura kama zitatosha !!! Anyway, hata hivyo Magufuli ni Mtendaji Mzuri kama Bunge litakuwa zuri, wale Wabunge wasiona uwezo wa kuchambua taarifa za Bunge, wanasubiri tu kusema ndio waondoke ili Tanzania isonge mbele kwa "Hapa Kazi Tu"Kwa hiyo unataka tupige kelele? Siai ni watu wa mikakati zaidi. Endeleeni kupiga kelele mkichoka mtanyamaza. Magufuli ushindi ni daima
hali inavyojidhirihisha mpaka sasa hasa kanda ya ziwa magufuli amejizolea ushindi mnoono pamoja na wabunge wa ccm
hii inathibitica mikoa ya kagera,muleba,geita nk
:lock1:
Mkuu confirmed, ngoja sherehe!!!Is it confirmed hawa viumbe wametupwa kule? Dada Bulaya kashinda!?
CCM waliona mbali sana kwa kumtosa Lowassa Mbowe anawaaminisha watu wazima eti wazungushe mikono hewani waimbe mabadilikooooo Lowassaaaaa masikini ya Mungu watu nao wanamfuta Mbowe nuksi sana anajua kucheza na akili za watu ngoja Lowassa akachunge ng'ombe zake.