Una kidhi vigezo vya Ndalichako hongeraWakuu mimi nmehitimu cha sita kwa mchepuo wa PCB na kupata :
Physics E
Chemistry D
Biology D
G/S S
BAM E.
Nina ndoto ya kusoma course za afya hasa udaktari. Naomba ushauri juu ya vyuo ama course ya kusoma chuo kikuu..!!
Jaribu vyuo vyuo vingine MUHAS huwa kina ushindani sana ungecheki Bugando,Kairuki,na vingine ambavyo havina majina makubwa ila zina kozi unazozotaka na ni nzuri hasa katika upatikanaji wa ajira!! Focus zaidi katika kutimiza ndoto zako wakati huo ukiangalia kwa jicho pevu soko la ajira!!Ahsante mkubwa!! MUHAS competetion inaweza kua na effect kubwa??? Msaada tafadhali
Thanks broh!!Jaribu vyuo vyuo vingine MUHAS huwa kina ushindani sana ungecheki Bugando,Kairuki,na vingine ambavyo havina majina makubwa ila zina kozi unazozotaka na ni nzuri hasa katika upatikanaji wa ajira!! Focus zaidi katika kutimiza ndoto zako wakati huo ukiangalia kwa jicho pevu soko la ajira!!