Kwa haya Matokeo anaweza kuchaguliwa kwenda Form 5 wakuu?

Niache Nteseke

JF-Expert Member
Apr 29, 2020
1,959
2,177
Heshima kwenu wakuu.

Naomba kuuliza kuhusu haya Matokeo ya huyu dogo ataweza kuchaguliwa Form 5 wadau...?

Civics D
History D
Geography C
Kiswahili C
English D
Physics F
Chemistry D
Biology C
Mathematics F

Kwa results hizo ataweza kuchaguliwa 5...? Kama hatochaguliwa aende kozi gani itakayoweza kumsaidia hapo baadae ..? Amepata division three ya 25.

Natanguliza shukran kwenu.
 
Heshima kwenu wakuu.

Naomba kuuliza kuhusu haya Matokeo ya huyu dogo ataweza kuchaguliwa Form 5 wadau...?

Civics D
History D
Geography C
Kiswahili C
English D
Physics F
Chemistry D
Biology C
Mathematics F

Kwa results hizo ataweza kuchaguliwa 5...? Kama hatochaguliwa aende kozi gani itakayoweza kumsaidia hapo baadae ..?

Natanguliza shukran kwenu.
Yaani sasahv mzazi akisema hv.

Mchukue mtoto mpeleke chuo cha bandari pale miezi minne au sita kama sikosei, ajifunze fork lifter akitoka hapo chuo kinamtafuta field tofauti na veta.

Akishindwa huko mpeleke veta ajifunze udereva yaani kazi za udereva nje nje kama una vyeti.

Utakuja kunishukuru, kuliko kwenda kupoteza muda huko, hao wenzako mpaka waje kutoka shule tayar yupo na chaneli ya kutosha.
ILA tu kama atakubaliana na hili

Best wishes.
 
Aisee mi mwanangu akija na matokeo kama hayo siwezi kuforce eti aendelee kusoma... Maana atasoma kwa shida sana kwa uwezo huo alafu akimaliza chuo ajira zenyewe zipo wapi

Kama ni WA kiume Kuna chuo wanafundisha ku operate machine haya ma excavator and the likes, mpelekee huko apate na cheti Cha NIT kabisa yaani unyama mwingi.... Yaani mpaka wenzake waje wamalize chuo ye atakua mbali sana na experience ya kutosha

Sio Kila mtu lazima ahangaike na hizi degree
 
Ushauri mzuri sana
 
Aisee mi mwanangu akija na matokeo kama hayo siwezi kuforce eti aendelee kusoma... Maana atasoma kwa shida sana kwa uwezo huo alafu akimaliza chuo ajira zenyewe zipo wapi

Kama ni WA kiume Kuna chuo wanafundisha ku operate machine haya ma excavator and the likes, mpelekee huko apate na cheti Cha not kabisa yaani unyama mwingi.... Yaani mpaka wenzake waje wamalize chuo ye atakua mbali sana na experience ya kutosha

Sio Kila mtu lazima ahangaike na hizi degree
Pia ni ujinga mweny one akasome ualimu ,ajira za tabu hata akipata analipea laki 7.
 
Yaani sasahv mzazi akisema hv.

Mchukue mtoto mpeleke chuo cha bandari pale miezi minne au sita kama sikosei, ajifunze fork lifter akitoka hapo chuo kinamtafuta field tofauti na veta.

Akishindwa huko mpeleke veta ajifunze udereva yaani kazi za udereva nje nje kama una vyeti.

Utakuja kunishukuru, kuliko kwenda kupoteza muda huko, hao wenzako mpaka waje kutoka shule tayar yupo na chaneli ya kutosha.
ILA tu kama atakubaliana na hili

Best wishes.
Thanks a lot kiongozi nitamshauri.
 
Aisee mi mwanangu akija na matokeo kama hayo siwezi kuforce eti aendelee kusoma... Maana atasoma kwa shida sana kwa uwezo huo alafu akimaliza chuo ajira zenyewe zipo wapi

Kama ni WA kiume Kuna chuo wanafundisha ku operate machine haya ma excavator and the likes, mpelekee huko apate na cheti Cha not kabisa yaani unyama mwingi.... Yaani mpaka wenzake waje wamalize chuo ye atakua mbali sana na experience ya kutosha

Sio Kila mtu lazima ahangaike na hizi degree
Mkuu hii kitu ni hatari.

Kuna dada alifeli fom4 ile zero kabisa akawa amekata tamaa. Basi akawa anashona shona sababu alikuwa anafahamu kidogo. Baadae akaenda kusoma hayo na excavator, na fork lifter akapata kazi bandarini akaenda tena kuongeza kusoma yale yanayonyanyua makontena maana ile ni stage ya mwisho. Yule dada anafanya kaz masaa manne tu pesa inaingia tayari.

Kama kweli anampenda mwanae asihangaike huko sijui advance kupoteza muda tu ila kama mtoto atapenda haya
 
Aisee mi mwanangu akija na matokeo kama hayo siwezi kuforce eti aendelee kusoma... Maana atasoma kwa shida sana kwa uwezo huo alafu akimaliza chuo ajira zenyewe zipo wapi

Kama ni WA kiume Kuna chuo wanafundisha ku operate machine haya ma excavator and the likes, mpelekee huko apate na cheti Cha NIT kabisa yaani unyama mwingi.... Yaani mpaka wenzake waje wamalize chuo ye atakua mbali sana na experience ya kutosha

Sio Kila mtu lazima ahangaike na hizi degree
Shukran sana kiongozi.
 
Mkuu hii kitu ni hatari.
Kuna dada alifeli fom4 ile zero kabisa akawa amekata tamaa. Basi akawa anashona shona sababu alikuwa anafahamu kidogo. Baadae akaenda kusoma hayo na excavator, na fork lifter akapata kazi bandarini akaenda tena kuongeza kusoma yale yanayonyanyua makontena maana ile ni stage ya mwisho. Yule dada anafanya kaz masaa manne tu pesa inaingia tayari.
Kama kweli anampenda mwanae asihangaike huko sijui advance kupoteza muda tu ila kama mtoto atapenda haya
Ushauri nasaha huu aufanyie kazi
 
Itabidi tuzingatie hilo mkuu.
 
Back
Top Bottom