Matokeo ya Uchaguzi Uzini - Raza (CCM) aibuka kidedea!

Habari ndiyo hiyo,CHADEMA inaongoza shehia kibao.Stay tuned nitawamwagia full data muda si mrefu.
Ng'ana Sweke, taarifa hii uliileta saa 7 mpaka sasa no update!.

Jina lako linaonyesha unatoka kwenye lile kabila "the best tribe in Tanzania", mbona unatuaibisha?!.

Mode funga hii thread na kumpatia stahiki yake huyu jamaa tena irefushe zaidi ili funzo kwa wengine, you can't joke kwenye serious issue kama hii ya uchaguzi!.
 
:a s 465:hata mbuyu ulianza kama mchicha so ipo siku cdm itakuwa na muwakilishi toka huko visiwani
 
Ng'ana Sweke, taarifa hii uliileta saa 7 mpaka sasa no update!.

Jina lako linaonyesha unatoka kwenye lile kabila "the best tribe in Tanzania", mbona unatuaibisha?!.

Mode funga hii thread na kumpatia stahiki yake huyu jamaa tena irefushe zaidi ili funzo kwa wengine, you can't joke kwenye serious issue kama hii ya uchaguzi!.
Well said mkuu!....huyu jamaa sometime huwa anaripoti taharifa za ukweli'sasa leo sielewi imekuwaje....anyway mie bado namsubiria
Tumaini Makene aje kutupa vitu live bila chenga.
 
Kwan Tumaini Makene yuko wapi jamani? Aliahidi kutupa updates za masuala yote ya jimboni UZINI, lakini nashangaa leo amekuwa kimya kweli! Au mambo yamekuwa magumu?
 
kuna jamaa yuko kule kanambia baadhi ya vituo wameshaanza kutoa matokeo.ameona katika vituo vitatu ccm inaongoza then cuf inafuatiwa na chadema anasema cdm ndo imeanza kufahamika kule so next time itatoa upinzani mkali sana
 
rais wa migomo unafahamika upo upande gani hapa JF, propoganda hukuanza jana.
 
Ng'wana Sweke,
Umetoka kuripoti habari za jimboni Geita leo hii, na ukatoa update za muda si mrefu. Sasa hivi unatoa progress ya matokeo ya uchaguzi huko Uzini, Visiwani as if upo huko na mbaya zaidi umetoa matokeo kabla hata zoezi la kuhesabu kura kisheria halijaanza. Sasa huu sio ustaarabu kuleta habari as if upo LIVE wakati hujashuhudia lolote. Nakuomba useme ukweli, upo Zanzibar au upo Geita? Wakati mwingine tunalivunjia heshima jukwaa kwa habari za namna kama hii.
Sikubaliani na Ng'wana Sweke kuleta habari ya matokeo hata kabla ya kura kuhesabiwa lakini sikubaliani na wewe kumlaumu Sweke kutuletea habari za matukio mawili tofauti, kuripoti habari ya kweli si lazima uwe sehemu ya tukio inategemea na source yako ya habari na uaminifu wako unaweza kuwa sehemu ya tukio na usitupe habari ya kweli, lakini all in all tusubiri matokeo halisi baadae jioni. Hata hivyo hapa chini Sweke amesema wazi anasubiri chanzo chake cha habari.
Mpaka saa 6 mchana zoezi la kupiga lilikuwa limekamilika,ikabidi kazi ya kuhesabu kura ianze,zaidi tulieni nitakuja na nondo full soon,chanzo changu toka Zenji kinaniandalia...sema network inazingua sana kule Uzini.
 
Kwan Tumaini Makene yuko wapi jamani? Aliahidi kutupa updates za masuala yote ya jimboni UZINI, lakini nashangaa leo amekuwa kimya kweli! Au mambo yamekuwa magumu?
Ha ha haaa umenichekesha sana....labda yuko busy na kuhesabu kura....tuendelee kumpa mda kidogo
 
Ng'ana Sweke, taarifa hii uliileta saa 7 mpaka sasa no update!.

Jina lako linaonyesha unatoka kwenye lile kabila "the best tribe in Tanzania", mbona unatuaibisha?!.

Mode funga hii thread na kumpatia stahiki yake huyu jamaa tena irefushe zaidi ili funzo kwa wengine, you can't joke kwenye serious issue kama hii ya uchaguzi!.

Kama umemsoma vizuri kuna mahali mleta mada amesema source wake yuko jikoni na ataleta updates ila mawasiliano (network) uzini sio mazuri sana. Hakuna mahali popote aliposema kuwa ikifika muda fulani nitakuwa na upadate zote. Sasa kwa nini unasema mods afunge thread kabla ya hata muda (theorerical time) wa kuhesabu kura haujaisha? Nadhani tumpe muda zaidi kabla ya hukumu.
 
kuna jamaa yuko kule kanambia baadhi ya vituo wameshaanza kutoa matokeo.ameona katika vituo vitatu ccm inaongoza then cuf inafuatiwa na chadema anasema cdm ndo imeanza kufahamika kule so next time itatoa upinzani mkali sana

propaganda kama za olesendeka..wa simanjiro..hovyooo
 
Tegemea kupata vichwa vya habari hivi katika magazeti ya kesho: 1-CHADEMA YAANGUKIA PUA UZINI. 2-JOPO LA UONGOZI WA CHADEMA LAONDOKA UZINI KIMYA KIMYA NA KUSAHAU MAHEMA YAO- ni baada ya kugaragazwa vibaya sana na CCM, 3-CHADEMA WASAFIRISHWA KWA KUTUMIA MAJAHAZI KUELEKEA BONGO -ni baada ya kutumia pesa zote katika kampeni jimbo la Uzini na kusahau kujiwekea nauli, 4-CUF YAAMBULIA NAMBA MBILI UCHAGUZI WA UZINI NA KUWAACHA CHADEMA WAKIPIGWA NA BUTWAA!
 
Habari ndiyo hiyo,CHADEMA inaongoza shehia kibao.Stay tuned nitawamwagia full data muda si mrefu.

haya mambo ya matokeo ya awali yanakera sana............ tumeshaona mara nyingi kwamba hayana maana yoyote, its the results that count

kupeana moyo wa kijinga li badae ije issue ya kijinga

samahani kwa lugha kali, i support chadema huko fiji, lakini sipendi false hopes... LETS WAIT FOR FINAL RESULTS
 
Ng'ana Sweke, taarifa hii uliileta saa 7 mpaka sasa no update!.

Jina lako linaonyesha unatoka kwenye lile kabila "the best tribe in Tanzania", mbona unatuaibisha?!.

Mode funga hii thread na kumpatia stahiki yake huyu jamaa tena irefushe zaidi ili funzo kwa wengine, you can't joke kwenye serious issue kama hii ya uchaguzi!.
Pasco

Mara ngapi wewe unatuletea habari za kupotosha za ikulu na za bunge tena sensitive zaidi ya hizi hatujaomba upigwe ban, guy try to be gentleman.
 
ng'ana sweke, taarifa hii uliileta saa 7 mpaka sasa no update!.

Jina lako linaonyesha unatoka kwenye lile kabila "the best tribe in tanzania", mbona unatuaibisha?!.

Mode funga hii thread na kumpatia stahiki yake huyu jamaa tena irefushe zaidi ili funzo kwa wengine, you can't joke kwenye serious issue kama hii ya uchaguzi!.

the best tribe kwa kukosa vyoo?
 
Back
Top Bottom