Matokeo ya Uchaguzi Uzini - Raza (CCM) aibuka kidedea!

Mkuu Gerald.Mimi binafsi naziangalia siasa za Zanzibar kama siasa za kishabiki na kizamani. Kama ambavyo Simba na Yanga zimeua soka la Tanzania ndivyo hivyo CCM na CUF zimeharibu siasa za Zanzibar. Mgombea hata awe bora kiasi gani lakini kwasababu ya ushabiki unaweza ukakuta anapata kura 20,anashindwa na mtu ambaye ktk kiwango cha akili ya kawaida huwezi amini amenyimwa vipi kura. Wanaweza wakajitetea kwamba hiyo ni demokrasia,lakini demokrasia ya aina hiyo ni ujinga. Siku zote namuomba Mungu, watanganyika tusiige siasa za aina hii.
 
T IMBILIMU!
Labda umejaribu kunishawishi may be it might be thx.

Kwa sasa nasubiri arumeru then nitakuja hapa JF tena
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom