Matokeo ya Uchaguzi Uzini - Raza (CCM) aibuka kidedea!

Habari ndiyo hiyo,CHADEMA inaongoza shehia kibao.Stay tuned nitawamwagia full data muda si mrefu.
Pombe za jumapili asubuhi mbaya sana chama kinaongozaje bila kura kuhesabiwa?? thread kama hizi ambazo obvious ni upotoshaji zinatakiwa zie zinafutwa haraka sana!!
 
Hivi utajuaje kuwa wanaongoza, wakati kura bado hazajaanza kuhesabiwa? Hata mimi ningependa iwe hivyo lakin kura ni siri ya mtu. TUVUTE SUBIRA

Si kwamba namuunga mkono aliyeleta hoja, lakini unaweza kupata mwelekeo wa jinsi watu walivyopiga kura kwa kufanya "exit poll", ambapo unauliza randomly watu kadhaa kila wanapomaliza kupiga kura kuwa wamepigaje. Kumbuka baada ya upigaji, kura haibaki siri tena.
 
Habari ndiyo hiyo,CHADEMA inaongoza shehia kibao.Stay tuned nitawamwagia full data muda si mrefu.
Sifa kuu ya JF ni ukweli usio na ubishi na wanachama wake ambao ni ma great thinkers kuja na ukweli na kuitofautisha JF na blogu za Michuzi , FB, Nipashe , Mjengwa , Majira , Uhuru , Habaru leo nk.Ukianza kuja na mawazo kama ya Pinda na Nape hakika mimi nitaomba ufungiwe.Iacheni JF iwe na sifa zake please .
 
Pombe za jumapili asubuhi mbaya sana chama kinaongozaje bila kura kuhesabiwa?? thread kama hizi ambazo obvious ni upotoshaji zinatakiwa zie zinafutwa haraka sana!!
Kuna kitu kinaitwa exit poll, hamjawahi kusikia? Ila nina wasiwasi na mwanzisha mada maana Tanzania haijatumika sana, labda ni mtabiri, katumia ramli, nasikia huko zenji kuna wachawi sana,
 
Ng'wana Sweke,
Umetoka kuripoti habari za jimboni Geita leo hii, na ukatoa update za muda si mrefu. Sasa hivi unatoa progress ya matokeo ya uchaguzi huko Uzini, Visiwani as if upo huko na mbaya zaidi umetoa matokeo kabla hata zoezi la kuhesabu kura kisheria halijaanza. Sasa huu sio ustaarabu kuleta habari as if upo LIVE wakati hujashuhudia lolote. Nakuomba useme ukweli, upo Zanzibar au upo Geita? Wakati mwingine tunalivunjia heshima jukwaa kwa habari za namna kama hii.
UPDATES.

Muda huu makamanda wanapita kila kitongoji hapo kijijini Bukwimba kusikiliza kero mbalimbali toka kwa wananchi ili ziweze kuwasilishwa panapohusika kwa utatuzi,baada ya hapo safari kuelekea kijijini Karumwa itaanza.

Last edited by Ng'wana Sweke; Today at 10:47.
 
Ni maombi ya watanzania wengi waliochoka na ccm wanapenda kuona mabadiliko hata huyo mmoja wakipata Wazanzibari watakuwa wameonyesha njia
 
Back
Top Bottom