Matokeo ya Uchaguzi Uzini - Raza (CCM) aibuka kidedea!

Kwakweli vituo vinafungwa saa 10 jioni ndio kura zinaanza kuhesabiwa hayo matokeo mmeyapata wapi? ni vizuri mkaleta threat zenye uhakika sio utani kama huo
 
Hizo ni ndoto..huhitaji degree ya sheria kujua kuwa chadema zanzibar haipendwi,na kwamba kwa yenyewe kushinda Uzini ni ndoto ya mchana isiyoweza kuwa kweli.
That is the bitter truth,but i rather call it my tough love for chadema!
 
Habari ndiyo hiyo,CHADEMA inaongoza shehia kibao.Stay tuned nitawamwagia full data muda si mrefu.

haiwezekani ukawa na fununu za matokeo wakati kura hazijaanza kuhesabiwa. mwisho wa kupiga kula ni saa kumi kamili, hapo ndo unaruhusiwa kuhesabu kura. au utaratibu umebadilika zanzibar?
 
baba wa mgombea wa chadema alishasema mwanae hafai kuwa kiongozi.tuache kudanganyana hapa jf.
 
waache kukurupuka au kaona yeye akiweka topic hiyo atapata comments za kutosha , we need changes bt we should be also realistic with that changes
 
Mpaka saa 6 mchana zoezi la kupiga lilikuwa limekamilika,ikabidi kazi ya kuhesabu kura ianze,zaidi tulieni nitakuja na nondo full soon,chanzo changu toka Zenji kinaniandalia...sema network inazingua sana kule Uzini.

Ng'wana Sweke uli njinga sana! Inakuwaje mkuu unakuja mapema hivyo? Tena habari zenyewe nusu nusu!
 
hakuna sheria ya kuanza kuhesabu kura saa 10. kinachofanyika ni endapo wapiga kura waliokatika daftari katika kituo husika wote wameshapiga kura automatically kituo kinafungwa na uhesabiwaji wa kura unaanza. Mnasubiri mpaka saa kumi endapo bado watu ktk daftari hawajapiga kura na wala hawajafika. ukumbukwe kuwa saa kumi ni muda wa mwisho watu kupiga kura siyo kuanza kuhesabu kura. ova
 
Taarifa za kweli ni za yule aliyek kule tuuuuuuuuuuu, tupen habari wandugu,
 
Ahsante kwa taharifa....ila namsubiri kamanda wangu TUMAINI MAKENI....yeye yuko jikoni uko UZINI....frontline uwanja wa mapambano
 
Back
Top Bottom