Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Mkoa wa Tanga

kazana, kazana.. utakapo amka utashangaa kukuta slaa anaingia white house
 
Mkuu JK tuheshimu watu wengine. Huwezi ku-rule out kuwa CCM asilimia fulani wakati matokeo ndo bado yanatolewa. Heshimu binadamu wenzako. Usitype tu kwa kuwa unaweza kutype.
 
Hata kama kweli, Tanga twawajua, wavivu kufikiria, sembuse kujua kama nchi inachukuliwa na wenyewe...kwa hili watakuwa 'waja leo bila kurudi' watauona mwezi...JK chali...'majuha' wameamua kuikamata nchi yao'
 
....CCM utawajua tu kwa kujipa moyo..atutajie jimbo moja tu ambalo wameshinda....awe detailed kidogo kuhusu idadi ya kura, waliopiga au ngapi zimeharibika...asilimia hiyo inaweza kuwa ni ya walevi aliowakura kilabuni au wauza mitumba sokoni...
 
Back
Top Bottom