Kenge (Eng)
JF-Expert Member
- Dec 7, 2006
- 543
- 156
Choo Kikuu cha Darisalaama (UDSM)
Kiite utakavyo lakini matokeo ndio hayo. Nahisi ujayapenda.
Choo Kikuu cha Darisalaama (UDSM)
Choo Kikuu cha Darisalaama (UDSM)
Acha pressure mkuu, hebu angalia posti zangu ndio uanze kuni-judge, hapo mahala pameshapoteza credibility yake siku nyingi na hili halihusiani na matokeo...Kiite utakavyo lakini matokeo ndio hayo. Nahisi ujayapenda.
Kwanini voter turnout ndogo hivyo?
Kwa tafsiri rahisi ni hii hapa
Urais:
CCM 27 = 15.6%
CHADEMA - 142 = 82.5%
CUF 3 = 1.7%
Jumla: 172
Ubunge:
CCM 22 = 12.9%
CHADEMA 142 = 83.5%
CUF - 6 = 3.5%
Jumla: 170
UDSM safi sana
hilo si la kuuliza, wanachuo wapo majumbani
Nimewasiliana na ndugu zangu walioko kijijini na wameonyesha kuwa kuna mwamko mkubwa akati huu uchaguzi. Usidhani hali iko kama unavyofikiri.WanaChadema mtapigwa butwaa mtakapopata matokeo ya mikoa ya Pwani, Tanga, Lindi, Mtwara, Iringa, Morogoro na maeneo ya vijijini nchi nzima.
Mtapigwa ganzi, msiamini kinachotokea

WanaChadema mtapigwa butwaa mtakapopata matokeo ya mikoa ya Pwani, Tanga, Lindi, Mtwara, Iringa, Morogoro na maeneo ya vijijini nchi nzima.
Mtapigwa ganzi, msiamini kinachotokea