Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.
Mitandao ya internet haipatikani, Waandishi wa habari wanapata taabu. Source: ufoo saro

Hapo nia majasusi wa CCM wanaofanikisha wizi wa kura wameipiga network na DOS (denial od services) ili wasiwasilishe matokea kwa umma...Hawa jamaa wa green ni mafia...wauaji....
lakini watashinwa tu...
 
Matokeo ya udiwani CDM imeshinda kata za Endasak,Hanang na Masekelo,Shinyanga mjini tusubiri na Igunga kwa matokeo yote haya machache yanabashiri mambo mazuri lakini yatubidi tuwe na subira
 
matokeo mapya kwa mujibu wa Ufoo Saro wa ITV...

CDM - Magamba (row ya chini ni total)
matokeo-ITV.JPG
 
Maumivu ya kichwa huanza pole pole maumivu si mzaa na matibabu yake .......
Mjihadhari na wizi wa kura!
 
Paka masaburi vaseline hayo, wakati ukiwa uchi wale wanywa gongo wenu mliowanunulia mipombe na kuwapa tshirt wasipate tabu kushughulika.
kweli kuu hata NEC nahisi watasahihisha matokeo hali ili wabebe magamba tutalia nao lo!
 
Tuombe Mungu wachakachuaji wasijitokeze jamani, MAGAMBA hayatabiliki kwa kuchakachua ni noma
 
Arsenal 1-1 tot. Modric nje, kaingia Sandro. Sagna kaumia vibaya, wamemtoa nje kabisa,
 
Nadhani utakuwa mgeni wa uchaguzi it is very normal mijini vyama vya upinzani kuwa mbele... na ili ujue upinzani unashinda inabidi kuiacha CCM (chama tawala ) kwa mbali sana... if you deny this fact wait and you will see.

Hamna lolote majizi tu nyinyi
 
Mkuu, Igunga kuna kata ngapi? sithiemu wataiba cdm wasipo kuwa makini, kaba man2man mpaka kieleweke. Mdee fanya kazi, tumechoka na sihasa chafu. Good keep it up mama.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom