Matokeo ya sensa: Tanzania ina watu 44,929,002!

Tupo milion 44 laki 9 ishirin na 9 elfu na 2, Tanzania bara watu milion 43 laki 6 ishirin na 5 elfu na mia 4 thelathin na 4. Zanzibar watu milion 1 laki 3 na elfu 3 mia 5 na sitin na 8
 
Wanasema serikali ya ccm ni rafiki na ile serikali ya ANC kule Afrika kusini, ningependa kujuzwa kama hata afrika kusini walizindua matokeo yao ya sensa? Sina doubt na uzinduzi, ila nina doubt kama hayatatumia gharama kubwa.Itafaa sana endapo matokeo yatachapishwa kwenye vijarida vitakavyowafikia wananchi wengi, kuliko kuishia kurusha TBC na kuchapisha gazeti la serikali.Bila shaka wale Waislamu wa Sheikh Ponda walihesabiwa gerezani.
 
Tupo milion 44 laki 9 ishirin na 9 elfu na 2, Tanzania bara watu milion 43 laki 6 ishirin na 5 elfu na mia 4 thelathin na 4. Zanzibar watu milion 1 laki 3 na elfu 3 mia 5 na sitin na 8
Duh!Zanzibar ina idadi ndogo sana ya wananchi!
 
Back
Top Bottom