Matokeo ya sensa: Tanzania ina watu 44,929,002!

Kwani hesabu hii imetofautiana na projection ya sensa iliyopita-au ni uharibifu wa rasilimali za taifa?

Watu tuna kazana kuzaana kama hatuna akili nzuri, hivi watu wa project wa uzazi wa mpango wamefanikiwa kwa lipi-au wanakula posho za bure tu?
 
Back
Top Bottom