Matokeo ya mwisho ya Simba na Yanga walipokutana na timu walizopangwa sasa kwenye CAFCL

Expensive life

JF-Expert Member
May 2, 2020
1,703
5,478
Mara ya mwisho Simba kukutana na timu alizopangwa nazwo kwenye kundi lake;

Asec 3 -0 Simba
Waydad 1 - 0 Simba
Simba 1 - 3 Galax

Mara ya mwisho Yanga kukutana na timu alizopangwa nazo;

Ahly 1 -0 Yanga
Medeama 3 - 1 Yanga
Belouizdad vs Yanga hawajawahi kukutana
 
Mara ya mwisho simba kukutana na timu alizopangwa nazwo kwenye kundi lake.

Asec 3 -0 Simba
Waydad 1 - 0 Simba
Simba 1 - 3 Galax

Yanga sc mara ya mwisho kukutana na timu alizopangwa nazo.

Ahly 1 -0 yanga
Medeama 3 - 1 Yanga
Belouizdad vs yanga hawajawahi kukutana.
Binafsi nazitakia Kila laheri timu zetu mapacha wa KARIAKOO waweze kufuzu robo fainali

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Jumla ya matokeo ya mwisho yalikua hivi.

1st leg. Simba 3-0 Asec.
2nd leg. Asec 3-0 Simba.
aggrigate 3-3.

1st leg. Simba 1-0 Wydad.
2nd leg. Wydad 1-0 Simba.
aggrigate 1-1.

1st leg,Jwaneng galaxy 0-2 Simba.
2nd leg.Simba 1-3 Jwaneng galaxy.
aggrigate 3-3.
Nataman sana watanzania tuwe na akili timamu, mleta mada ni mpumbavu, kachukua matokeo ya mwisho akasahau kuwa mech hzo zote zilikuwa home and away ndan ya kipind kifup
 
Mara ya mwisho Simba kukutana na timu alizopangwa nazwo kwenye kundi lake;

Asec 3 -0 Simba
Waydad 1 - 0 Simba
Simba 1 - 3 Galax

Mara ya mwisho Yanga kukutana na timu alizopangwa nazo;

Ahly 1 -0 Yanga
Medeama 3 - 1 Yanga
Belouizdad vs Yanga hawajawahi kukutana
No doubt ULIKIMBIA SHULE
 
Kama al ahly ametoa sale na simba na sisi simba tumempiga 5 basi kosa kosa al ahly anakula 3 nje ndani
#Raha ya mwiko ilipokolea nyuma daima kurudi
 
Back
Top Bottom