Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,647
- 7,934
2001 january?.... hivyo alianza na miaka 5 na nusu.Kama la kwanza alianza 2001 atamaliza 2007, angeanza 2000 ndo angemaliza 2006.Halafu kutokana na matokeo yake ya form four, naweza kuconclude kuwa si kipanga kwa hiyo hawezi kurushwa darsa. Kubali tu blaza! analika huyo!!ama kweli Hesabu ugonjwa wa taifa......mfano Lulu alianza la kwanza mwaka 2001 mpaka 2006 (na si 2007) atakuwa amehitimu la saba na 2007 mpaka 2010 (na si 2011) form four utata uko wapi hapo...na ikumbukwe si kila anaeanza la kwanza lazima asome miaka saba au nimeshuudia watoto wakirukishwa darasa mfano badala asome la kwanza anaanzia la pili au badala asome la pili anaenda la tatu hivyo hivyo badala ya kidato cha cha kwanza anaingia kidado cha pili....
Ulikuwa umejiona smati eee?