Matokeo ya lulu kidato cha nne haya hapa

JF bana.. yaani mmekwenda kutafuta matokeo yake!... seriously speaking ... life style yake ! hiyo four mbona kapasi saana! alafu shory ni du ... ngeli na F "bwahahahaha"
 
Tena nina wasiwasi akawa anamiaka zaidi ya 18
Mfano labda kaanza shule akiwa na miaka
7+7=14+4=18+2=20
Or
6+7+4+2=19

Or
5+7+4+2=18

Or
4+7+4+2=17

Maono yangu tu,nimejumlisha miaka miwili nikimaanisha2010/4- 2011/4 na 2011/4-2012/4 hiyo ni miaka miwili
ama kweli Hesabu ugonjwa wa taifa......mfano Lulu alianza la kwanza mwaka 2001 mpaka 2006 (na si 2007) atakuwa amehitimu la saba na 2007 mpaka 2010 (na si 2011) form four utata uko wapi hapo...na ikumbukwe si kila anaeanza la kwanza lazima asome miaka saba au nimeshuudia watoto wakirukishwa darasa mfano badala asome la kwanza anaanzia la pili au badala asome la pili anaenda la tatu hivyo hivyo badala ya kidato cha cha kwanza anaingia kidado cha pili....
 
quote_icon.png
By engmtolera

Tena nina wasiwasi akawa anamiaka zaidi ya 18
Mfano labda kaanza shule akiwa na miaka
7+7=14+4=18+2=20
Or
6+7+4+2=19

Or
5+7+4+2=18

Or
4+7+4+2=17

Maono yangu tu,nimejumlisha miaka miwili nikimaanisha2010/4- 2011/4 na 2011/4-2012/4 hiyo ni miaka miwil
amemaliza 2010 which means ameanza 2007(unatoa 3 na sio 4) kwa sababu 2010 ni inclusive
amemaliza la saba 2006 less 6 years ni 2000 alianza na miaka 6 plus 4 plus 6 ni 16 hiyo ilikuwa 2010 na hii ni 2011 calculate ana miaka mingapi!!!
 
Uko sawa mzee kwa vile unawakilisha zaidi ya +65% ya watz wenye mawazo kama ya kwako ambao kwao maendeleo/mafanikio ni kunawili kwa kupaka mikorogo, kuendesha magari yenye ac, kuwa na simu zenye kamera, kuishi Sinza/Kijitonyama, kusikika redioni na kuandikwa na magazeti (ya Shigongo), kutokosekana kwenye fiesta nk.

Tofauti na wengine ni kutopenda kuumiza kichwa kwa kufikiri ni kwa nini kijana akae miaka karibia saba + nne kutafuta elimu alafu aambulie ‘D’ moja badala ya ‘A’ saba. Huoni kuwa pana tatizo hapa!? Na unadhani kama Watz wote watafanikiwa kwa msingi huu unaousema kutakuwa na nchi hapa kweli. Nakukumbusha tu, Mwalimu Nyerere pamoja na wengine walipo declare UJINGA kama adui yetu mkuu tulikuwa na utajiri mkubwa sana wa mito, mabonde yenye rutuba, madini, mbuga za wanyama nk.
Mkuu, you have to re-think kwa maana haya mawazo kama yako ndiyo yametufikisha hapa na si ajabu ndio maana Wakenya wanatudharau!

Yaani mkuu hao ndo wanapenda kuishi kiujanja ujanja...ndo wnakuwa na mawazo kuwa kufeli masomo sio kufeli maisha kwa sababu mfumo wetu wa maisha unaruhusu watu kuishi kiujanja ujanja tu....kazi unapata kiujanja ujanja hata kama huna qualifications nk
 
...na ikumbukwe si kila anaeanza la kwanza lazima asome miaka saba au nimeshuudia watoto wakirukishwa darasa mfano badala asome la kwanza anaanzia la pili au badala asome la pili anaenda la tatu hivyo hivyo badala ya kidato cha cha kwanza anaingia kidado cha pili....
Mkuu kwa matokeo haya sioni dalili yoyote ya kuwa alirushwa madarasa
 
yaani hii inaonyesha wale ma-star wetu wanaongea viingereza vya kuchomokea ni ziro ukiamua kuongea nao
Hehehe
Huwa namsikia akiishia Yes, No bila kuongeza maneno mengine kumbe ana Bendera ktk kingereza

Kwa matokeo hayo kulikuwa hakuna Future ktk mkondo wa elimu zaidi ya Maigizo na Mtikisiko wa ubongo
 
Mdau tunaweza kupata na wema sepetu.. maana na yeye ni wale wale viingireza vingi vya kuchomekea
. ni vyema na yeye tumjue kabisa maana na yeye alikoswa koswa kuwa ndio lulu
national examinations council of tanzania

csee 2011 examination results​


NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

CSEE 2011 EXAMINATION RESULTS​



S3548 MIDWAY SECONDARY SCHOOL DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 10 FLD = 8



CNO

SEX​

CANDIDATE NAME​

AGGT​

DIV​

DETAILED SUBJECTS​

S3548/0001​

F​
ANASA BAKARI KASULE

32​

IV​

CIV-D HIST-F GEO-F E/D/KIISLAMU-D KISW-D ENGL-F BIO-F COMP STUD-F B/MATH-F​

S3548/0002​

F​
ANASTAZIA AMRI PRUDENCE

33​

IV​

CIV-D HIST-F GEO-F KISW-D ENGL-F BIO-F B/MATH-F​

S3548/0003​

F​
DIANA BOSCO KISIOLY

28​

IV​

CIV-D HIST-D GEO-D KISW-D ENGL-F LIT ENG-C BIO-D COMP STUD-F B/MATH-F COMM-F​

S3548/0004​

F​
ELIZABETH MICHAEL KIMEMETA

33​

IV​

CIV-F HIST-D GEO-F KISW-D ENGL-F BIO-F B/MATH-F​















s3548 midway secondary school div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 0 div-iv = 10 fld = 8



cno

sex​

candidate name​

aggt​

div​

detailed subjects​

s3548/0001​

f​
anasa bakari kasule

32​

iv​

civ-d hist-f geo-f e/d/kiislamu-d kisw-d engl-f bio-f comp stud-f b/math-f​

s3548/0002​

f​
anastazia amri prudence

33​

iv​

civ-d hist-f geo-f kisw-d engl-f bio-f b/math-f​

s3548/0003​

f​
diana bosco kisioly

28​

iv​

civ-d hist-d geo-d kisw-d engl-f lit eng-c bio-d comp stud-f b/math-f comm-f​
s3548/0004


f​
elizabeth michael kimemeta

33​

iv​



civ-f hist-d geo-f kisw-d engl-f bio-f b/math-f​

s3548/0005​

f​
esther benjamin malisa

30​

iv​

civ-d hist-d geo-d kisw-f engl-d bio-d comp stud-f b/math-f comm-f b/keeping-f​

s3548/0006​

f​
fatma abduly abduly

34​

fld​

civ-f hist-d geo-f kisw-f engl-f bio-f comp stud-f b/math-f comm-f b/keeping-f​

s3548/0007​

f​
josephine thadei mushi

26​

iv​

civ-c hist-c geo-d kisw-d engl-d lit eng-d bio-d comp stud-f b/math-f comm-f​

s3548/0008​

f​
mwajuma shabani kaoneka

-​

abs​

civ-x hist-x geo-x kisw-x engl-x bio-x b/math-x​

s3548/0009​

f​
nasra bernard msekwa

31​

iv​

civ-d hist-f geo-d kisw-f engl-d lit eng-d bio-f b/math-f comm-f b/keeping-f​

s3548/0010​

f​
raines fabian mathias

29​

iv​

civ-d hist-f geo-d kisw-f engl-f lit eng-c bio-f b/math-d comm-f b/keeping-d​

s3548/0011​

f​
zuhura said kinderu

33​

iv​

civ-f hist-f geo-d kisw-f engl-f lit eng-d bio-f comp stud-f b/math-f comm-f​

s3548/0012​

m​
evance aloyce kilawe

35​

fld​

civ-f hist-f geo-f kisw-f engl-f bio-f b/math-f​

s3548/0013​

m​
farid omary daud

34​

fld​

civ-f hist-f geo-d kisw-f engl-f bio-f comp stud-f b/math-f​

s3548/0014​

m​
francis eribariki malisa

31​

iv​

civ-f hist-d geo-d kisw-f engl-d bio-d comp stud-f b/math-f comm-f b/keeping-f​

s3548/0015​

m​
hussein keya mariri

35​

fld​

civ-f hist-f geo-f kisw-f engl-f bio-f comp stud-f b/math-f​

s3548/0016​

m​
ikelesho samwel rutubesho

35​

fld​

civ-f hist-f geo-f kisw-f engl-f bio-f b/math-f​

s3548/0017​

m​
immamu said kinderu

35​

fld​

civ-f hist-f geo-f e/d/kiislamu-f kisw-f engl-f bio-f comp stud-f b/math-f​

s3548/0018​

m​
issa shehembe kuziwa

35​

fld​

civ-f hist-f geo-f kisw-f engl-f bio-f b/math-f​

s3548/0019​

m​
paul dions paul

35​

fld​

civ-f hist-f geo-f kisw-f engl-f bio-f b/math-f​



examination centre ranking​

examination centre region​

dar es salaam​

total passed candidates​

10​

examination centre gpa​

4.5748​

centre category​

centre with less than 40 candidates​

centre position in its category(regionwise)​

43/53​

centre position in its category(nationwise)​

453/779​

examination centre divisions performance​

regist​

absent​

sat​

withheld​

no-ca​

clean​

div i​

div ii​

div iii​

div iv​

failed​

19​

1​

18​

0​

0​

18​

0​

0​

0​

10​

8​

examination centre subjects performance​

code​

subject name​

reg​

sat​

no-ca​

w/hd​

clean​

pass​

gpa​

reg/rank​

nat/rank​

011​

civics​

19​

18​

0​

0​

18​

7​

4.5556​

185/268​

2471/3901​

012​

history​

19​

18​

0​

0​

18​

6​

4.6111​

95/266​

1256/3872​

013​

geography​

19​

18​

0​

0​

18​

8​

4.5556​

122/268​

1986/3898​

015​

elimu ya dini ya kiislamu​

2​

2​

0​

0​

2​

1​

4.5000​

35/103​

262/631​

021​

kiswahili​

19​

18​

0​

0​

18​

5​

4.7222​

191/268​

2511/3901​

022​

english language​

19​

18​

0​

0​

18​

4​

4.7778​

180/268​

2297/3901​

024​

literature in english​

5​

5​

0​

0​

5​

5​

3.6000​

13/46​

37/162​

033​

biology​

19​

18​

0​

0​

18​

4​

4.7778​

200/268​

2951/3898​

036​

computer studies​

10​

10​

0​

0​

10​

0​

5.0000​

22/24​

62/70​

041​

basic mathematics​

19​

18​

0​

0​

18​

1​

4.9444​

232/268​

2856/3901​

061​

commerce​

8​

8​

0​

0​

8​

0​

5.0000​

185/202​

666/719​

062​

book-keeping​

5​

5​

0​

0​

5​

1​

4.8000​

78/201​

219/709​
 
kumbe kingereza alifaulu vizuri tuu..."the thing is" huwa nafurahi kila nimsikiapo akitumia haya maneno
 
Tena nina wasiwasi akawa anamiaka zaidi ya 18
Mfano labda kaanza shule akiwa na miaka
7+7=14+4=18+2=20
Or
6+7+4+2=19

Or
5+7+4+2=18

Or
4+7+4+2=17

Maono yangu tu,nimejumlisha miaka miwili nikimaanisha2010/4- 2011/4 na 2011/4-2012/4 hiyo ni miaka miwili

Nadhani huo mkokotoo wako una uhakika
 
Amejitahidi sana,coz yupo kwenye kundi la walio faulu,si unaona shule yao aliyefaulu kapata div 4 nayeye ni miongoni mwao!!
 
Ni kweli kabisa. Angalia matokeo ya shule nzima ndipo utoe hatima ya mwanafunzi. Kama shule ilikuwa na Div 1,2 na 3
yeye akapata point 33, tungezungumza mengine. But, katika msukumo wa maisha ya sanaa anayoishi, nivigumu sana kuweza kupaform vizuri darasani hasa zinapokuwepo dili za kutosha kuingiza kipato. Muda mwingi atakuwa ametumia kufikiria sanaa badala ya masomo.

Kanumba ametutoka, tunasikitika sana? je na Lulu nae tumpotezee Segerea? kuna haja ya kujiuliza.
 
ama kweli Hesabu ugonjwa wa taifa......mfano Lulu alianza la kwanza mwaka 2001 mpaka 2006 (na si 2007) atakuwa amehitimu la saba na 2007 mpaka 2010 (na si 2011) form four utata uko wapi hapo...na ikumbukwe si kila anaeanza la kwanza lazima asome miaka saba au nimeshuudia watoto wakirukishwa darasa mfano badala asome la kwanza anaanzia la pili au badala asome la pili anaenda la tatu hivyo hivyo badala ya kidato cha cha kwanza anaingia kidado cha pili....

kaka hapa tunaongelea kiserikali huwa hakuna mamboi ya kumrusha mtoto darasa,kama kasoma shule zetu za hali ya juu sawa hutokea hiyo lakini kikawaida huwa ni kwa wototo wanaojiweza kimasoma,sijui lulu umemchukuliaje ama alikuwa anajiweza kima igizo ndio maana wakamrusha dara,

kuhusu hesabu hapo ndipo ziliko lala kaka,achana na hizi za kujumlisha miaka 7 badala ya 6,
 
Mkuu binafsi sijaona kama Lulu anatatizo hapo, tatizo lipo wa shule yenyewe na walimu, haiwezekani shule ikawa na performance ya hivyo halafu tutegemee Lulu angefaulu, we never know may me angesoma shule yenye performance angefanya vizuri zaidi, MUNGU AMLINDE NA KUMUHEKIMISHA MTOTO WA WATU... Hili nalo litapita tu ktk njia yake mdogo wangu usisoneneke sana...

Ama kweli kupenda upofu,yaani kuna watu hata iweje hawawezi kuona tatizo,mtu na akili zako kabisa unasema Lulu angesoma shule nzuri angefaulu...jamani kama hamnazo ni hamnazo tu,mbona mtoto wa.....amemaliza shule nzuri(Feza) shule kati kati ya top schools hapa Tanzania lkn yeye aliibuka na IV tena peke yake,sasa mtu utajihakikishiaje kuwa Lulu angekuwa Marian angefaulu,kwanza katika historia yake (Lulu) inaonyesha alianza kusoma St Mary's na baadaye ndo akahamia huko Midway na ukichimba hicho kilichomuondoa huko St Mary's utakuta ni zile below za kuvukia mwaka ndo maana akaenda shule ya "bora liende" na hayo ya wa kwanza kuwa na IV ya 26 ndo matokeo ya yale mashule ya "bora liende"
Nakushukuru sana ndugu uliyeniibulia figures hizi,sasa hivi hata nikirudia kusoma ile sehemu iliyosema alinyoosha kidole kwenye Mahakama ya Kisutu kurekebisha quote ya umri wake naelewa ni kwanini alifanya vile.
 
ama kweli hesabu ugonjwa wa taifa......mfano lulu alianza la kwanza mwaka 2001 mpaka 2006 (na si 2007) atakuwa amehitimu la saba na 2007 mpaka 2010 (na si 2011) form four utata uko wapi hapo...na ikumbukwe si kila anaeanza la kwanza lazima asome miaka saba au nimeshuudia watoto wakirukishwa darasa mfano badala asome la kwanza anaanzia la pili au badala asome la pili anaenda la tatu hivyo hivyo badala ya kidato cha cha kwanza anaingia kidado cha pili....

kwahiyo lulu huyu elizabeth michael na yeye alirushwa darasa?
 
Niliwahi kusoma na Jembe 1 O-level tukiwa Form III akafukuzwa shule kwa utovu wa nidhamu akahamia shule 1 ya private type ya hiyo Midway hamuwezi kuamini alipata Div I peke yake wengine wote IV,kwahiyo pamoja na u'kimeo wa shule lkn uwezo wa mtu binafsi unaweza kuonyesha u'tofauti kidogo si kama huo wa Div IV ya point 33.
Halafu kinachonishangaza zaidi ukiangalia interviews zake kila baada ya sentensi ya kiswahili inapachikwa nusu sentensi ya kingereza kumbe kingereza chenyewe kala Mswaki,loh hii inanifanya nizidi kuipenda nchi yangu Tanzania na Watanzania wake.
hayo ni matokeo ya kawaida ukizingatia mazingira na maisha aliyokuwa anaishi. huwezi tarajia performance ya hali ya juu wakati all the time anawaza kujirusha na kutanua tu.... japo pia shule zetu zingine vimeo, akili binafsi nazo husaidia.
hii ndo tatizo la vijana wanaochipukia hawaoni umuhimu wa elimu zaidi ya kuwaza maisha ya starehe... [uzuri wa mtu uko kichwani na kila kitu utafanikiwa]
 
Tusiwe kama wageni wa shule jamani; kufeli mtihani wa Form 4 sio ndo kufeli Maisha au kwamba ndo mwisho wa Elimu hapo, wangapi hata baada ya kuanguka wakanyanyuka na kujipukuta hata mwisho wa siku mambo yao yakanyooka pengine hata kumzidi yule alopata Div 1 au 2 kwenye mtihani huo wa Form 4???


yote hayo nayajua na najua pia si lulu wala mwanaasha watakaofeli maisha......ila matokeo yao yanafanana kwa kiasi kikubwa
 
Back
Top Bottom