Matokeo ya Kura za Maoni Igunga: CCM - Dr Kafumo, CHADEMA - Mwl Joseph Kashindye

Msema kweli mpenz wa mungu,

Mimi sitaki hiki chama cha mashehe na wavaa kanzu na balagashia na mgombea wao MALEOPARD(MACHUI) ashinde, lakini nimesikitika sana leo nikiwa ndani ya Basi nilipopita Igunga mjini. Kila kona imesheheni bendera za CUF, Benson Kigaila na wenzio ikiwa mnafanya mchezo huko na jimbo likaenda msikitini au mashehe wakawapita mtatafutia pa kujichimbia, hatutaki ujinga kabisa.

Nilikuja kampeni za busanda na mliwazidi CUF kwa kila kitu, kwa nini Igunga mjini yamejaa mabendera ya CUF na za CHADEMA ni za kuokoteza vijiwe viwili vitatu?

Yule Mtatiro bogus anawashinda nini hapo?

My take; KAMA MMESHINDWA KAZI KAMANDA ONDOKENI WAJE MAKAMANDA WENGINE!

Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeees! HATUTAKI JIMBO LIENDE MSIKITINI.

Acha udini wewe! Hapo sasa unataka kuonyesha kwamba CHADEMA NI CHAMA CHA WAKRISTO TU! Waropokaji kama wewe ndo mnaoharibu image ya chadema kwa wa2 kama hauwez kuchangia kaa kimya.

ninavyoona CUF na CDM watagawana kura then mgombea wa CCM atapeta kiulaini. Ili upinzani ushinde inabidi CDM na CUF waachiane la sivyo mtakumbuka hii post yangu siku ya matokeo.
Kampeni zikiendeshwa vizuri na kumfungamanisha mgombea na CUF na wavua magamba watu wa Igunga wanaweza kuamka na kuzikataa hadaa za CUF. Bado kuna muda wa kujipanga. Kwani CUF inasimamia nini huku bara?

Magamba majina yaleyale tumeyachoka safari hii mngetuletea angalau mwanakijiji amshika jembe.

Wanandoa (Cuf+ CCM) wana nafasi kubwa ya kushirikiana ili kupunguza kasi ya CDM ktk uchaguzi huu,japo binafsi namuombea Mwl. Kashindye ashinde ili awakilishe wana Igunga na walimu ambao maskini wamekuwa deleted.

Candidate wa cdm anauzika! being a teacher anabeba jamii yote ya walimu jimboni na watumishi kada ya kawaida aliokutana nao akiwa afisa elimu, kuwa mkazi wa Igunga kwa muda mrefu unaotajwa ni mtaji mwingine.

Might be a right/good card for cdm. cuf hata kama candidate wao ana certain popularity ukweli kwamba ni chama tawala shirikishi-ccm b lazima wabwagwe

Kila la kheri wana Igunga tuleteeni mbunge wa ukweli sio wale wa kupiga makofi tu na wenzi wao, leteni wajenga hoja na wawakilishi waukweli wa watanzania (CDM)

ninavyoona CUF na CDM watagawana kura then mgombea wa CCM atapeta kiulaini. Ili upinzani ushinde inabidi CDM na CUF waachiane la sivyo mtakumbuka hii post yangu siku ya matokeo.

kwanini isiwe CCM na CUF kugawana kura kisha CDM ishinde au kwanini CDM na CCM wasigawane kura kisha CUF ishinde, ukianalyse mambo chambua pande zote kuepuka kuwa biased upande mmoja ndg yangu.

kwa mtazamo wangu CCM ikishinda Igunga sio swala la kugawana kura ni mbinu zao chafu ambazo wote tunazifaham wanapofika kwenye uchaguzi. naamini sana hili jimbo linaenda CUF au CDM.

Acha udini wewe! Hapo sasa unataka kuonyesha kwamba CHADEMA NI CHAMA CHA WAKRISTO TU! Waropokaji kama wewe ndo mnaoharibu image ya chadema kwa wa2 kama hauwez kuchangia kaa kimya.

magamba magumu ndo kawaida yao hiyo.huwa wanataka kuwachafua wenzao

Mamoboi naingana nawe kwa asilimia 100%, hali iliyopo Igunga ukifuatilia kwa umakini utakuta mgombea huyo wa CUF ndo anatajwa zaidi, na tangu jimbo limekuwa wazi yeye na MAHONA na timu za oganaizesheni za CUF wamekuwa ndani ya jimbo. Faida kubwa aliyonayo Mahona ni kuwa;
1. Amegombea ubunge mwaka 2010 kwa tiketi ya CUF na kupata zaidi ya kura 11,000.
2. Amefanya kazi na shirika la world vision kwa miaka kadhaa akilizunguka jimbo la Igunga.
3. Ni mkazi wa Igunga na mzaliwa wa Igunga na anatoka kwenye familia maarufu tarafa ya Nsimbo.
4. Ni mjenga hoja hodari huku akisimamia ukweli na matatizo ya wananchi.
5. Ana elimu ya kutosha kuwashawishi wapiga kura - STASHAHADA YA JUU YA BIASHARA NA UTAWALA,
6. Ni kijana mwenye umri wa miaka 29 tu na kivutio kikubwa cha akina mama.
7. CUF inaonekana wamejipanga vizuri safari hii kwani Busanda CUF walienda kutalii wakati uchaguzi unaanza lakini kwa Igunga wamefanya Ground work ya kutosha.
8. CUF wana mtandao mzuri ndani ya Igunga kuliko CDM.
9. CCM hawana mtandao mzuri kwani RA alijijenga yeye kama yeye.
10. Kama wananchi wanahitaji kiongozi na maendeleo watamchagua kijana MAHONA na kama wanahitaji SHOW ZA ANGANI watamchagua Mwl Kashinje au Dr wa kuchakachua madini.
11. Tusubiri tuone wana igunga wanahitaji nini.
Endeleeni kujiridhisha kwa historia hata Busanda mlikuwa na zaidi ya hizo mkaja kuambulia kura mia mbili.

CDM wanakwenda kushinda Igunga. Ni chama makini chenye malengo makini. Hakinunuliki wala hakinunuliwi ili kumaliza hoja zake. Wana Igunga wanakwenda kumchagua Mgombea atakaye waletea maendeleo, sikiliza shida zao na hayuko tayari kupewa rushwa ya uongozi au muafaka ili kuwasiliti wapiga kura.

Tayari CUF ni CCM hivyo atakaye mpigia kura mgombea wa CUF amempigia mgombea wa CCM kwani ni chama kimoja. CCM na CUF wameungana na katibu mkuu wa CUF ni makamu wa Raisi Zanzanzibar Je wanaigunga wanategemea kumwona Sharif akimpinga Shein wakati wako ofisi moja? Yenye malengo sawa? Muungano wa CUF na CCM unaondoa uhalali wa CUF kuwa chama cha upinzani kwa sasa, pale vyama vinapokubaliana kuunganisha nguvu na kutengeneza serikali vinakuwa vyote ni vyama tawala. Hivyo CUF na CCM kwa sasa wanamajukumu sawa.

Chama cha upinzani Igunga ni CDM pekee. Tunakwenda kushinda tena kwa sunami kubwa. Mwl Kashindye ni Mbunge wa Igunga Tayari. Twende kazi

Pole sana kijana!hizi c zama za udini swala la imani ni jambo la m2 binafsi.ckutegemea m2 makini kuwa na mawazo hasi kama hayo!inawezekana ww unafikra za wa2 wa magamba peoplez power daima

Wana Igunga msi2angushe jamani Rostam mlimpenda sana lakini alisema ameamua kuachana na siasa za magamba zilizo jaa chuki,uchochezi na unafiki.Hivyo basi mwl kashindye ndiye m2 pekee atakaye watetea hata RA analijua hilo!kura yako kwa mwl plz

Ili kuhakikisha Ushindi Chadema inatakiwa kupeleka ujumbe mzito Igunga... Na watu ambao nawapendekeza ktk msafara huo ni Dr.Slaa, Mbowe, Zitto, Mndee na vijana J.J Mnyika na Weche.. CDM lazima ibadilishe strategy ya ushindi kwa kuwahusisha wakazi wa Igunga ktk ufunguzi wa kampeni hii pia itakuwa vizuri sana kama tunapata support ya NCCR - Mageuzi kumpitisha mgombea wa Chadema. Kwa jinsi muda usivyokuwa upande wa Chadema inabidi kambi ifungwe mapema na kampeni za nyuma hadi nyumba zianze mapema kwa mgombea kupata muda wakutembelea kata zote zinazohusu jimbo lake.

Ni kazi nzito sana kwa sababu CCM hawatakubali kabisa kupoteza jimbo ambalo tayari wamekwisha shinda na katika mkoa ambao kihistoria umekuwa chini ya CCM kwa miaka mingi...Ushindi wa Igunga ni mwanzo wa mageuzi mkoani humo - Ushindi ni lazima...

Msema kweli mpenz wa mungu,
Mimi sitaki hiki chama cha mashehe na wavaa kanzu na balagashia na mgombea wao MALEOPARD(MACHUI) ashinde, lakini nimesikitika sana leo nikiwa ndani ya Basi nilipopita Igunga mjini. Kila kona imesheheni bendera za CUF, Benson Kigaila na wenzio ikiwa mnafanya mchezo huko na jimbo likaenda msikitini au mashehe wakawapita mtatafutia pa kujichimbia, hatutaki ujinga kabisa.

Nilikuja kampeni za busanda na mliwazidi CUF kwa kila kitu, kwa nini Igunga mjini yamejaa mabendera ya CUF na za CHADEMA ni za kuokoteza vijiwe viwili vitatu?
Yule Mtatiro bogus anawashinda nini hapo?
My take; KAMA MMESHINDWA KAZI KAMANDA ONDOKENI WAJE MAKAMANDA WENGINE!
Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeees! HATUTAKI JIMBO LIENDE MSIKITINI.
Max tafadhali watu km hawa wasipewe nafasi hapa jamvini, yaani post ya kwanza tu mtu anaanza na ubaguzi tena wa waziwazi, tafadhali hapa pasiwe sehemu ya kukashifiana na hasa katika masuala yanayohusiana na dini. JF inasomwa na watu wa dini zote.

Kamishna wa madini atakuwa hana skendo za mabomu huko kazini yanayoweza kumlipukia kweli? Au ndo mtimdo wa fisadi mmoja anatoka anaimgia fisadi mwingine?!

Back
Top Bottom