Matokeo ya Kura za Maoni Igunga: CCM - Dr Kafumo, CHADEMA - Mwl Joseph Kashindye

We Ch***z ina mana waislam hawatakiwi kuongoza nchi hii, futa kauli yako kama unataka mabadiliko ni lazima upate trust ya dini zote. NO WONDER WATU WANAAMINI CDM NI YA KANISA. futa pumba zako.

kwa nini unatumia mawazo ya mpuuzi mmmoja na tena siyo kiongozi wa chama unatoa conclusion ya kuwa CDm ni chama cha kanisa.
i dont see any difference between u and her.

Msema kweli mpenz wa mungu,
Mimi sitaki hiki chama cha mashehe na wavaa kanzu na balagashia na mgombea wao MALEOPARD(MACHUI) ashinde, lakini nimesikitika sana leo nikiwa ndani ya Basi nilipopita Igunga mjini. Kila kona imesheheni bendera za CUF, Benson Kigaila na wenzio ikiwa mnafanya mchezo huko na jimbo likaenda msikitini au mashehe wakawapita mtatafutia pa kujichimbia, hatutaki ujinga kabisa.

Nilikuja kampeni za busanda na mliwazidi CUF kwa kila kitu, kwa nini Igunga mjini yamejaa mabendera ya CUF na za CHADEMA ni za kuokoteza vijiwe viwili vitatu?
Yule Mtatiro bogus anawashinda nini hapo?
My take; KAMA MMESHINDWA KAZI KAMANDA ONDOKENI WAJE MAKAMANDA WENGINE!
Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeees! HATUTAKI JIMBO LIENDE MSIKITINI.
umeibukia toka pango gani?
Hii si hulka ya Watanzania
Huu sio utaratibu wa CDM, kama tunavyowasikia jukwwani au kusoma katiba yao,
Wakristo hatuko hivi wala hatujafundiswa kuchukia wengine....
Umetokea wapi wewe.....mapepo hayo ya chuki na yakutoke kwa Jina la Yesu.

ninavyoona CUF na CDM watagawana kura then mgombea wa CCM atapeta kiulaini. Ili upinzani ushinde inabidi CDM na CUF waachiane la sivyo mtakumbuka hii post yangu siku ya matokeo.

Hi itakuwa ya kule Tarime ndicho kitakacho tokea hapo Igunga

CUF tatizo lao wao ni vibaraka wa CCM ndicho hapo kinacho wanyima imani CDM kwa CUF. Na wakiingia bungeni CUF bado iko na CCM upinzani utakuwa unazorota kabisaaaa

Kwa kwel mie ni chadema lakn napenda zaidi vijana tukichance regardless ya chama alichotoka kwa hivyo bac CUF wanachaguo sahihi zaidi kwa hy chadema 2kipange jaman

Wewe ndio unaweza kuwa mpenzi wa mungu ulivyokuwa mbaguzi.
Uoni kama unaonyesha CDM ni chama cha Wakirstu, nyie ndio mnamualibia Dr Slaa, pamoja na CDM kwa kauli zenu za kipuuzi
Chatu dume kuna watu wa ajabu sana,na watu kama hao sio wa kuwajibu,na nikweli wanamuaribia Dr.slaa na chadema kwa ujumla.

Mamoboi naingana nawe kwa asilimia 100%, hali iliyopo Igunga ukifuatilia kwa umakini utakuta mgombea huyo wa CUF ndo anatajwa zaidi, na tangu jimbo limekuwa wazi yeye na MAHONA na timu za oganaizesheni za CUF wamekuwa ndani ya jimbo. Faida kubwa aliyonayo Mahona ni kuwa;
1. Amegombea ubunge mwaka 2010 kwa tiketi ya CUF na kupata zaidi ya kura 11,000.
2. Amefanya kazi na shirika la world vision kwa miaka kadhaa akilizunguka jimbo la Igunga.
3. Ni mkazi wa Igunga na mzaliwa wa Igunga na anatoka kwenye familia maarufu tarafa ya Nsimbo.
4. Ni mjenga hoja hodari huku akisimamia ukweli na matatizo ya wananchi.
5. Ana elimu ya kutosha kuwashawishi wapiga kura - STASHAHADA YA JUU YA BIASHARA NA UTAWALA,
6. Ni kijana mwenye umri wa miaka 29 tu na kivutio kikubwa cha akina mama.
7. CUF inaonekana wamejipanga vizuri safari hii kwani Busanda CUF walienda kutalii wakati uchaguzi unaanza lakini kwa Igunga wamefanya Ground work ya kutosha.
8. CUF wana mtandao mzuri ndani ya Igunga kuliko CDM.
9. CCM hawana mtandao mzuri kwani RA alijijenga yeye kama yeye.
10. Kama wananchi wanahitaji kiongozi na maendeleo watamchagua kijana MAHONA na kama wanahitaji SHOW ZA ANGANI watamchagua Mwl Kashinje au Dr wa kuchakachua madini.
11. Tusubiri tuone wana igunga wanahitaji nini.

Mimi nadhani kwa sasa watanzania hasa Tanzania bara matumaini yao yako Chadema. Kumbuka Biharamulo ilikuwa ina mbunge wa TLP na chama hilcho ilikuwa imesambaa Biharamulo yote. Wakati wa uchaguzi mdogo TLP wote waliiunga mkono Chadema. TLP haikupata kura hata 1000. Chadema na CCM walikabana koo, bila kusahau kwamba kulikuwa dalili ya ccm kuchakachua matokeo vinginevyo Chadema wangeshinda. Uchaguzi mkuu wa 2010 Chadema wakashinda kwa kishindo Biharamulo.

Msema kweli mpenz wa mungu,
Mimi sitaki hiki chama cha mashehe na wavaa kanzu na balagashia na mgombea wao MALEOPARD(MACHUI) ashinde, lakini nimesikitika sana leo nikiwa ndani ya Basi nilipopita Igunga mjini. Kila kona imesheheni bendera za CUF, Benson Kigaila na wenzio ikiwa mnafanya mchezo huko na jimbo likaenda msikitini au mashehe wakawapita mtatafutia pa kujichimbia, hatutaki ujinga kabisa.

Nilikuja kampeni za busanda na mliwazidi CUF kwa kila kitu, kwa nini Igunga mjini yamejaa mabendera ya CUF na za CHADEMA ni za kuokoteza vijiwe viwili vitatu?
Yule Mtatiro bogus anawashinda nini hapo?
My take; KAMA MMESHINDWA KAZI KAMANDA ONDOKENI WAJE MAKAMANDA WENGINE!
Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeees! HATUTAKI JIMBO LIENDE MSIKITINI.
Huyu mtu nina wasiwasi naye. Kuna vitu viwili hapa, kwanza, inawezekana kweli ni mtu wa CDM, pili inawezekana siyo mtu wa CDM ila ni kapeni tu ili kuichafua CDM.
Udini udini.... kweli mpaka CDM wameiingia kwenye huu mkumbo ulioanzishwa na yule jamaa wa magogoni aka ******.... hapana sikubali

Nakubaliana na wewe huyu anajifanya m-chadema kumbe hana lolote anataka kufanya watu waamini kuwa chadema ni chama cha wakristu. By the way, mh! Priest nimelipenda hilo shavu! Hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

Thanks,huyo ni my first born!

Msema kweli mpenz wa mungu,

Mimi sitaki hiki chama cha mashehe na wavaa kanzu na balagashia na mgombea wao MALEOPARD(MACHUI) ashinde, lakini nimesikitika sana leo nikiwa ndani ya Basi nilipopita Igunga mjini. Kila kona imesheheni bendera za CUF, Benson Kigaila na wenzio ikiwa mnafanya mchezo huko na jimbo likaenda msikitini au mashehe wakawapita mtatafutia pa kujichimbia, hatutaki ujinga kabisa.

Nilikuja kampeni za busanda na mliwazidi CUF kwa kila kitu, kwa nini Igunga mjini yamejaa mabendera ya CUF na za CHADEMA ni za kuokoteza vijiwe viwili vitatu?

Yule Mtatiro bogus anawashinda nini hapo?

My take; KAMA MMESHINDWA KAZI KAMANDA ONDOKENI WAJE MAKAMANDA WENGINE!

Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeees! HATUTAKI JIMBO LIENDE MSIKITINI.

Shame on you,itikadi zilezile za udini alizozikataa mwl JK.Hawa ndo wanaotuchafulia chama,CDM si chama chama cha kidin,ila wajinga wachache kama hawa wasiokuwa na hoja.Ishu si jimbo kwenda msikitini,tusichokitaka ni jimbo kwenda ccm b.Wito kwa makamanda hapo Igunga,chondechonde hebu kazeni buti tunyakue jimbo ili kuongeza wapiganaji!kwa mtazamo tu huyo ticha anafaa sana,kwanza anayafahamu vizuri matatizo ya walimu na jamii kwa ujumla kulingana na mazingira yake ya kazi.Go on makamanda

Jamani makamanda wa CDM mimi naamini kabisa huyo kamishina Dr Kafumu ana miskendo kibao, cha kufanya ni kumuanika kwa wananchi ili abaki uchiiiiiii, halafu kama kawa CDM jimbo lazima tulibebe maana CUF hawaaminiki tena....

Nimeongea na jamaa yangu yuko igunga kasema, anayedhani CDM hawana chao Igunga anajidanganya jamaa wako vizuri ile mbaya mpaka amenishangaza chaguo lao ni bab kubwa limemtisha sana jamaa wa cuf nasikia aliwahi kutaka kuhamia CDM.

Ki ukweli jamaa kasema yule ticha ni msomi ana degree moja na ni mkali katika kujenga hoja.Ameongeza kusema kura walizo pata cuf zisiwatie kiburi kwa vile watu walitaka mabadiliko rost ham alishawazingua ila hawakuwa na chaguo mbadala na sasa Chadema ndio tumaini lao pekee.
nawasilisha.

kwenye mchakato wa ccm kasema hela imetembea mbaya na mgawanyiko ndani ya magamba bado ni dhahiri shairi. Fuatilieni detailed info kutoka reliable sources kama mna majamaa yenu huko Igunga mthibitishe haya ninayosema.

Kwa vyovyote vile LEOPARD MAHONA wa CUF ana nafasi kubwa ya kuibuka kidedea, watu wengi wa vitongoji vya igunga wanamtaja zaidi MAHONA, muhimu MTATIRO na wenzake wajipange.

Hao watu wengi ni wepi na vitongoji gani? Usije ukaongea na watu kadhaa
katika vitongoji viwili ukachukulia ndiyo kipimo cha kukubalika!

Msema kweli mpenz wa mungu,
Mimi sitaki hiki chama cha mashehe na wavaa kanzu na balagashia na mgombea wao MALEOPARD(MACHUI) ashinde, lakini nimesikitika sana leo nikiwa ndani ya Basi nilipopita Igunga mjini. Kila kona imesheheni bendera za CUF, Benson Kigaila na wenzio ikiwa mnafanya mchezo huko na jimbo likaenda msikitini au mashehe wakawapita mtatafutia pa kujichimbia, hatutaki ujinga kabisa.

Nilikuja kampeni za busanda na mliwazidi CUF kwa kila kitu, kwa nini Igunga mjini yamejaa mabendera ya CUF na za CHADEMA ni za kuokoteza vijiwe viwili vitatu?
Yule Mtatiro bogus anawashinda nini hapo?
My take; KAMA MMESHINDWA KAZI KAMANDA ONDOKENI WAJE MAKAMANDA WENGINE!
Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeees! HATUTAKI JIMBO LIENDE MSIKITINI.

Mungu anawapenda wote hata wambeya, acha unafiki wako...

Inawezekana huelewi hata historia ya RA kushinda ubunge kule jimboni kwake. Ameshinda kwa kutumia pesa zenu hizo hizo za EPA, Dr. Kafumo ambaye amenufaika pesa EPA kupitia kwa RA naye alifuatwa kupewa pesa na kuahidiwa kupewa nafasi nzuri serikalini akakubali kumwachia wakati wananchi walikuwa hawamtaki RA, na Akapewa kweli U Commissioner of Minerals !! , Kwa hiyo si kwamba wananchi wanamtaka kwa hiyari bali ni umasikini, wakipewa pesa za dagaa tu wanaridhika!!!

Swali la kujiuliza ni kuwa bado ana pesa ya EPA?????

Back
Top Bottom