Matokeo ya kidato cha pili

KALENDA

Member
Jan 21, 2011
72
28
Wana JF,
Naomba mnisaidie kunijulisha jinsi gani nitapata matokeo ya kidato cha pili mwaka 2011, nasikia yametoka najitahidi kutafuta
ili niangalie matokeo ya mtoto wangu bado sijafanikiwa.
Kama kuna yeyote mwenye kujuwa yanapatikana kwenye web site ipi naomba anijulishe.
Natanguliza shukurani.
 
Huwa hayawekwi kwenye web ya wizara,mara nyng yanapelekwa shulen direct.
 
Mkuu nenda kwenye shule anayosoma yatakuwa kwa headmaster au Academic teacher kwenye web utakesha unatafuta
 
Matokeo ya Form 2 itakuwa aibu ya mwaka na wasipoangalia ndilo litasababisha anguko la Magamba baada ya lile la darasa la saba....wastani wa 30 watoto wenyewe ndio wale walifaulu kwa alama 60 kati ya 250?tusubiri tuone!
 
Wana JF,
Naomba mnisaidie kunijulisha jinsi gani nitapata matokeo ya kidato cha pili mwaka 2011, nasikia yametoka najitahidi kutafuta
ili niangalie matokeo ya mtoto wangu bado sijafanikiwa.
Kama kuna yeyote mwenye kujuwa yanapatikana kwenye web site ipi naomba anijulishe.
Natanguliza shukurani.

kaka rekebisha huo mwaka 2011?? Au miwani yangu inanidanganya?
 
Back
Top Bottom