Matokeo ya Kibonde yabandikwa UDSM

Status
Not open for further replies.
tatizo la kibonde ni mropokaji wa kile asichokijua na tatizo la udsm ni madesa na kujifanya tunajua kila kitu wkt empty set
 
:clap2::clap2::clap2:Safi sana kibonde ukooo juu...maaana watu walikuwa hawjuwi matokeo yako ulisoma sanaaa mpaka ukambia darasa leo unaropoka sana angalia usije ukakimbia radiooo:clap2::clap2::clap2: na kupigia makofi kwa kutafuta umaarufu kupitia mgongo wa wanafunzi wa vyuo. wewe jamaa mjanja sana,:laugh:
 
Wahanga wa matokeo gentleman division tuko wengi, kinachotofuatisha ni mazingira yetu ya kuingia ktk janga hili, ukipata story ya kila mtu kwa uhalisia na siyo utetezi unapata somo....

Kingine tukubaliane kuwa o'level au a'level sekondari education siyo njia pekee ya kutufikisha ktk stashahada, shahada na uzamili...., na siyo lazima kuung'ang'ania mtaala wa tanzania ktk kujipatia weredi hususani ktk duni hii ya sasa.

Kibonde kama wahanga wengine asihesabiwe kuwa ni form iv leaver kama tayari ameshaichukua line nyingine ya taaluma ambayo inamtofautisha kabisa na mhitimu tu wa kidato cha nne au sita.

Bado nakubaliana sana na wengi wanomtizama kibonde kama mwanaharakati aliyejipambanua kupitia karama na fursa za weledi wa dunia ya sasa hatimaye kuwa gumzo la nchi yetu. Tupende tusipende, daima tunayo fursa ya kupata jema ndani ya ubaya....tukajifunza huko leo na kesho.......
 
Kibonde is just one pitiable moron who likes a publicity stunt and attention. Those results tells his his true picture, no wonder he's illogical, lacklustre, with unfounded arguments and of course a blank mind.
 
WATANGAZAJI WOTE KAMA WALIVYO MAPOLISI NA WAALIMU, NI FALURES WA FORM FOUR NA SIX. Then wanakimbilia hii fani ndo mana inapoteza mwelekeo. Wachache sana wamejiendeleza na kukimbilia ughaibuni kama Charles Hilary, Majura majura, Flora Nducha, Sunday Shumari nk.... manake radio na TV za bongo zote vimeo na wajinga. Ukiwa mkali kitaaluma hauwezi kukaa sana.
Yupo wapi Tido wa TBC?? very sad kwa taaluma hii kuvamiwa na vimeo na masharouharo kama Kibonde.
 
leo nimecheka sana nilipoenda udsm nikakuta matokeo ya form four ya kibonde wa clouds yamebandikwa kila mahali. pamoja na ku resit alipata d mbili tu. walikerwa na kauli zake wakabandika matokeo yake ili kuonyesha alivyo kibonde

ali resit kituo gani ili tuyaone live!
 
leo nimecheka sana nilipoenda udsm nikakuta matokeo ya form four ya kibonde wa clouds yamebandikwa kila mahali. pamoja na ku resit alipata d mbili tu. walikerwa na kauli zake wakabandika matokeo yake ili kuonyesha alivyo kibonde

Matokeo yote ya KIBONDE

Umbeya D
Ushankupe D
B/Math F
Civics F
Kiswahili F
English F
History F
Geography F
Biology F
Physics F
 
Mbona Kibonde ana hata D mbili, Makamba je? Tumwagie matokeo ya Makamba. Akiwa na D mbili nazirai!
 
Yaleteni basi hayo matokeo humu ndani!! Hilo litakuwa fundisho na kwa wengine![/QUOT

Wadau naomba mwana jf aliyeoko UDSM ambandue kopy moja atuwekee hapa halafu airudishe alipo itoa ili tuone ukibonde wake kwenye masomo! Ashukuru Mungu kamjalia sauti na domo lenye uweazo wa kuidanya nyeusi kuwa njano!
 
Hivi matokeo mabaya Form 4,6 au chuo yanaweza kuonesha uhalisia wa uwezo mdogo wa kufikiri kwa mtu.
Je walioshinda vizuri katika mitihani ndiyo wenye uelewa mkubwa kuliko walioshindwa?.
JE matokeo ya mtihani na mafanikio maishani au ufanisi kazini vinaendana.

Mb

kipimo cha akili ni mtihani.sio kipimo kizuri lakini ndio kipimo kilichopo.

Kama elimu sio determinant ya uelewa,ufanisi n.k basi kusingekuwa na umuhimu wa kusoma.au nikuulize wewe umesoma au la.
Kibonde mwenyewe alipenda kusoma but kachemsha na kaamua kutuma hasira zake kwa wanachuo.
 
Kama haya mwaweza kuyazungumza nyumbani kwenu hapa "educhat.wapka.mobi" fungua adress hii kwa pc au mobile phone
 
duh ama kweli kufeli mtihani sio kufeli maisha, jamaaa anachonga katika redio na kuchambua mambo makubwa mi nilidhani ana shule kinoma ya kuweza hata kumpa ubunge na uwaziri kumbe hakuna kitu mjini bwana kaaazi kwelikweli.
 
Matokeo yote ya KIBONDE

Umbeya D
Ushankupe D
B/Math F
Civics F
Kiswahili F
English F
History F
Geography F
Biology F
Physics F

Umekosea bana....

Umbeya A+
Ushankupe A+
Ushororo A++
B/Math F
Civics F
Kiswahili F
English F
History F
Geography F
Biology F
Physics F
 
Kibondeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, jina jenyewe kibonde maana yake ni `mtu mwenye uwezo mdogo wa kufikiri` refer kamusi

Wandugu iweni makini sana mnapowapa watoto wenu majina. Huwa yana implication kubwa katika maisha yao. Anyway yeye anaitwa Ephraim Kibonde sasa hapa naona kachukua u-kibonde wa surname yake. Lol!
 
mmmm masikini kibonde kama hakiingia kwenye ili jukwaa lazima apate ugonjwa wa depresion na je akisikia kuwa majibu yake yamebandikwa hadharani si ndiyo hata jinyonga kabisaa na muonea huruma sanaaaaaaa sijui itakuwaje
 
WATANGAZAJI WOTE KAMA WALIVYO MAPOLISI NA WAALIMU, NI FALURES WA FORM FOUR NA SIX. Then wanakimbilia hii fani ndo mana inapoteza mwelekeo. Wachache sana wamejiendeleza na kukimbilia ughaibuni kama Charles Hilary, Majura majura, Flora Nducha, Sunday Shumari nk.... manake radio na TV za bongo zote vimeo na wajinga. Ukiwa mkali kitaaluma hauwezi kukaa sana.
Yupo wapi Tido wa TBC?? very sad kwa taaluma hii kuvamiwa na vimeo na masharouharo kama Kibonde.

Lo minded,unajiita greater thinker!! You are nothing my friend,why unatudharau walimu? Sisi sio failure.
 
wabongo bwana kutofanya vizuri academics sio kwamba hana kitu kichwani. Mfumo wetu wa elimu uko one sided ndio maana wanashindwa wengi.
kuna watu wana vipaji tofuti vimeshindwa k kuibuliwa sababu ya kasumba ya physics , hesabu na history.

Life is not about all about academics.

Kuna watu wanaishi kwa kupiga kasia tu ulaya hata ukimuuliza archemedes principle hajui.

Hapo jirani kenya kuna wakimbiaji ukisikia wanhojiwa kingereza unajua kuwa hata hicho wanachoongea wamejifunza juzi juzi.

Inawezekana kweli kibonde hakufanya vizuri but tusisababishe tufanye kila mtu atake kwenda chuo kikuu ndio ajisikie kuwa ni mtanzania .

Nchi haiwezi kuendeshwa na wavaa tai tu na mainjinia. Tuache kuweka siasa na unafiki

Mkosoeni kibonde kwa hoja zake

elimu ndo mfumo pekee unaopima uelewa wetu! Ni vzuri kama angeupitia na kufaulu kama wengine! Na kama hakuweza kuupitia na kufanikiwa basi ya ngoswe mwachie ngoswe. Hivyo nae Kibonde,angezungumzia yaliyo kwenye level yake si kupayuka mambo asiyoweza kuyajadili. Hii dakia dakia mambo ndo inayomfanya abangwe kiasi hiki! Nahis mambo anayopaswa kujadili ni udaku udaku si mengine yenye maslahi kwa taifa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom