Matokeo ya Kibonde yabandikwa UDSM

Status
Not open for further replies.
bwahahahahahaha watu wamedata kudadadadeki.....fesibuku jamaa limoja limeandika hivi...
Proposed displinary measures 4 KIBONDE (The Lunatic/Kilaza of the century): Apewe Elfu 5, afanye ma2mizi anayodai wa UDSM tunafanya, iczidi ata sh. 1....akishindwa hili zoezi ananyongwa pale Rev Sqr. Akifanikiwa itabidi arudie tukio hilo kwa wiki 17 akifanikiwa anapewa angalau Diploma...au co?

bwahahahaha masomi bana yana akiri miingi
 
Hakuna ubishi kuhusu kipaji chako as a comedian, utangazaji na good performance yako as an MC, kwa sasa uko juu sana!. Please please please!..its about time come down little by little, jishushe, be humble kwenye matamshi yako infront of mic.
Pasco
ume sound so sexy ka shori vile.....good
 
so far hatuna any scanned advert kutoka huko chuo kikuu...!

c'mon wanafunzi tumeni basi
 
leo nimecheka sana nilipoenda udsm nikakuta matokeo ya form four ya kibonde wa clouds yamebandikwa kila mahali. pamoja na ku resit alipata d mbili tu. walikerwa na kauli zake wakabandika matokeo yake ili kuonyesha alivyo kibonde

Enzi ya chama kimoja (na magazeti matatu, Dailynews/Uhuru/Mfanyakazi) Dr Kibatala - ni Headmaster pekee ninaemfahamu aliekuwa na PhD alitoa hotuba fulani kuhusu mismanagement ya elimu nchini na likelihood ya kitakachotokea siku za usoni (back in 90s). Waandishi fulani wa Uhuru wakamwandama kwelikweli, majibu yake yalikuwa rahisi: "Siwatarajii muelewe ninachokisema, kwa kuwa hamna mental capacity ya kunielewa, najua mmetumwa tu kuandika mnachoniandika".

Wakatishia kumfungulia mashtaka ya kukashifu kama asingewataka radhi hadharani. Dr Kibatala akawaomba kibali chao ayatoe matokeo yao ya kidato cha nne hadharani ili wananchi wapime kama alichosema ni kashfa. Hadi leo hawajawa tayari kukubali matokeo yao yawekwe hadharani.

Angalau wao walijua udhaifu wao, lakini Kibonde, mhhh! Ama kweli ni Kibonde.
 
Kwaniiiiiii............. Hivi Bilgate alipata division gani.........??? Hivi huko mitaani hakuna wenye DIV one waliofulia..........??? AU mnaweza mkanionyesha makaburi ya wenye zero...........???? Jadilini alichokiropoka na si anaumwa nini, alipata DIV gani, histioria yake ipoje......!!!! Nyie mnaojadili hapa mbona hamuweki matokeo yenu...........??? AU wote mlipata wani ya 7 and then wani ya 3......??? ACHENI HIZO.............

Bill Gates (na si Bilgate) ali-drop out university (si kwa kushindwa bali kwa maamuzi yake mwenyewe). Na sidhani ulishawahi kumsikia akitoa maoni kwenye kitu asichokijua.

Japo si lazima mtu awe na Div I ya form four ili aweze kutoa maoni hadharani, LAKINI AKITOA UPUPU hadharani asilalamike ukimuwasha mwenyewe. Tatizo ameamua kuingilia mambo asiyoyajua - na hayuko likely kuyajua. Angekaa kimya nani angehangaika nae? MPUMBAVU AKIKAA KIMYA HUONEKANA ANA BUSARA!
 
Kibonde hoyeeeeeee.
D zako mbili ndio zinazokuweka mjini na kukuotesha kitambi, pia hizo ndizo zinazokufanya ung'oe videnti kwa kwenda mbele.
 
aiseeeee,
kweli ukivua nguo chutama!!! sasa jamaa bado kasimama wanaendelea kumuangalia.watajua mengi tu.
 
kibonde ni kilaza refer kamusi ya kiswahili,ndio maana sugu alimchana live na hata akubisha.
 
leo nimecheka sana nilipoenda udsm nikakuta matokeo ya form four ya kibonde wa clouds yamebandikwa kila mahali. Pamoja na ku resit alipata d mbili tu. Walikerwa na kauli zake wakabandika matokeo yake ili kuonyesha alivyo kibonde
kama ameweza kupata d 2,ana haki kabsa ya kuropoka kama anavyoropoka,maana hajui asemacho,mana kurudia mtihani na kushindwa kupata c,ni tatizo,mwache azidi kuropoka,ndo mambo anayoweza
 
kibonde ni kilaza refer kamusi ya kiswahili,ndio maana sugu alimchana live na hata akubisha.

NI VYEMA PIA TUKAPATA MATOKEO YA MBUNGE WETU MAKINI SUGU a.k.a MR II......! KWANI KIBONDE SASA ANA ELIMU GANI?...INA MAANA HAJAJIENDELEZA? KAMA SHULE ALIYOSOMA ILIKUWA NA MATOKEO MABAYA NI KOSA LAKE?.......TUJUE ANA ELIMU GANI SASA NA TUMUHUKUMU KWA ELIMU YAKE YA SASA
Na si busara kuhukumu uelewa wa mtu kwa elimu yake ya 20 years back....!
aaaaaa nimekumbuka...MBOWE ALIFELI MASOMO...!
 
Mbona ZAIN/AIRTEL wanamtumia sana katika matangazo! Hivi hawaoni wanapoteza soko kwa kuwa watu hawampendi katika jamii na yeye anawapotezea soko! Nyang'au mkubwa
 
Kwako ndugu yangu, rafiki yangu na mwenzangu Ephraim najua utasoma hapa, haya nilitakiwa kukuambia kwa mdomo tukionana, au nikupigie simu lakini namba yako nime i delite long ago.
Pasco

Pasco,
Yote uliyosema ni ya busara. Ila hapo nilipo quote mmh! Umeidelete long time agoo - sijakuelewa vizuri.
Kwamba mlikuwa na ugomvi ukaidelete ama? au ulazima wa kusema hivyo... au imekaa kaaje hiyo??
 
Ningefurahi sn kuona matokeo yake fuul hapa jamvini............kibonde ni moja kati ya kero mbaya sana hapa tz na ni kiwazo kikubwa cha mabadiliko........tumkamate tuzae naye hafai huyu.......ni mchochezi sana......
 
Yaleteni basi hayo matokeo humu ndani!! Hilo litakuwa fundisho na kwa wengine!

Hivi matokeo mabaya Form 4,6 au chuo yanaweza kuonesha uhalisia wa uwezo mdogo wa kufikiri kwa mtu.
Je walioshinda vizuri katika mitihani ndiyo wenye uelewa mkubwa kuliko walioshindwa?.
JE matokeo ya mtihani na mafanikio maishani au ufanisi kazini vinaendana.

Mb
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom