Elections 2010 Matokeo ya awali toka Songea

Status
Not open for further replies.
Nilikuwa na wasi wasi na hawa watu wa Songea hasa mjini kwa Nchimbi.

Jamani ngoma bado sana..........NGONDO YAKONA......tusubiri matokeo kutoka maeneo ya kando kando...........siku zote CCM wamekuwa hawafanyi vizuri hizo sehemu zilizokwisha tajwa...............however kwa taarifa nilizopewa mabadiliko ni very possible................
 
na huko si ndo kwa John Komba?
doh kweli siku ya kufa mbwa basi pua zote zinaziba
 
Hakika CCM wamekasirika sana kuona makao makuu yao kata zote zimechukuliwa na chadema ukiachilia kata za pembezoni.Bado matokeo ya Ubunge not confirmed but it seems Nchimbi kapita
 
Hakika CCM wamekasirika sana kuona makao makuu yao kata zote zimechukuliwa na chadema ukiachilia kata za pembezoni.Bado matokeo ya Ubunge not confirmed but it seems Nchimbi kapita

Taarifa za uhakika lakini bado hazijatangazwa rasmi na wahusika ni kuwa Chadema imeshinda ktk kata za Majengo, Mfaranyaki, Lizaboni, Bombambili, Matarawe na Ruvuma.
 
Jamani mwenye habari kamili yaliyojiri katika jimbo la songea manispaa mshindi ni nani tafadhali anihabarishe. Nasikia Nchimbi ametangazwa mshindi.:israel:
 
Imetokeaaje na wakati kwenye vituo karibu vyote Mbogoro alikuwa anaongoza? Jamani tutafika kweli kama mtu anataka kuwaongoza watu kwa nguvu wasiomtaka na wala sio chaguo lao? Is this thithiem style of doing things in collabo na hao wanoitwa wasimamizi wa majimbo?
:nono:
 
Hapana kabisa! wameshachakachua matokeo!! Nchimbi hafai kabisa, he is not responsible at all. Wana Songea mtaendelea kuwa maskini kwa kumchagua huyu jamaa. I feel really sorry!
 
Jamani huyu nchimbi kayachakachua matokeo.yaan vituo vyote vya mjini alikuwa kashapigwa bao..mungu yupo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom