Elections 2010 Matokeo ya awali toka Songea

Status
Not open for further replies.

Mugerezi

JF-Expert Member
Mar 28, 2007
456
10
Songea Majengo

Urais

CCM - 86
CHADEMA - 121
CUF - 7
APPT - 2

Ubunge

CCM - 69
CHADEMA - 124

Udiwani

CCM - 71
CHADEMA - 121

Songea Mfaranyaki

Urais

CCM - 62
CHADEMA - 80

Ubunge

CCM - 59
CHADEMA - 83

Udiwani

CCM - 63
CHADEMA - 78

Source Channel 10
 
Jamani tuache utani. Hadi kama watu wa kunyumba wameamka basi kweli mwaka huu ni kiyama cha sisiem. Nimefurahi sana
 
Maaaamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa uwiwwwwwwwwwwwwwwwiiiiiiiiiiiiii Songea sikuzania kabisa wallahiiii
 
Jamani kesho tunamwapisha slaaaaaaa na hatuna haja ya kusubiri matokeo mengine
mapinduziiii daimaaaaa
 
Huku si ndo ngome ya mafisadi? Basi imekula kwao. JF ni kama tv yaani. Reporters wamesambazwa dunia nzima Bongo!
 
Cheza kidogo, cheza kidogo, pembe la ng'ombe....halifichikii, halifiachi..... angalieni na startv
 
Hapa nilipo, ni kwa neema yako tuuu, nimefika, nilikotoka ni mbali saana, nashukuru Bwana, nashukuru..............
 
jamani watu wa matogoro, mateka, makambi
kimolo. mahenge bombambili
tusherekee kwa kucheza kambindi, chomanga ligihu ligwamba lizombe. mpitimbi namatuhi kote rrrrrrrraha tupu
anga
 
mambo saaaaaaaaaafi sana......mafisadi waanze kutafuta visa mapemaa maana kima chao ndo hiki hapa
 
Nilikuwa na wasi wasi na hawa watu wa Songea hasa mjini kwa Nchimbi.
 
nazidi kuomba.. mtu aliyepo ikulu kwa sasa asije akachakachua matokeo kama ilivyokuwa kwa Mugabe na Kibaki...
mungu tusaidie Tanzania!!! maana inakuwa mdadi wa mechi kama ile ya Man U na Chelsea au Liverpool
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom