Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,477
Kumbushaneni wenyewe msitushughulishe sisi!
hao wanaopanga foleni kupiga kura, bilashaka kichwani kumejaa topé, uchaguzi gani huu wa kumpigia kura mgombea mmoja ambae ashatangazwa kupita bila kupingwaWatu ni wengi kwenye foleni
Nikufanikiwa kupiga picha nitaleta
hao wanaopanga foleni kupiga kura, bilashaka kichwani kumejaa topé, uchaguzi gani huu wa kumpigia kura mgombea mmoja ambae ashatangazwa kupita bila kupingwa
Murusha mabomu huyu hapa,kuweni makini View attachment 1270806
Kwani kuna Uchaguzi leo? Na Kampeni zilifanyika lini?