Me ni mmoja wa wahitimu wa kidato cha sita 2012 mpaka sasa sinatetesi kuhusiana na matokeo ukiangalia hapa sina ajira na maisha n magumu kwa yeyote mwenye fununu naomba anijulishe lini yatakuwa out?
I contacted one of NECTA's IT personnel anasema instructions walizopewa ni kuwa they should release them on 26th which is thursday!! So kesho kutwa vijana mjiandae kuvuna mlivyopanda,kama ulipanda maboga usisubiri machungwa!! Kesho kutwa m-tune TBC watatangaza b4 releasing them!
Me ni mmoja wa wahitimu wa kidato cha sita 2012 mpaka sasa sinatetesi kuhusiana na matokeo ukiangalia hapa sina ajira na maisha n magumu kwa yeyote mwenye fununu naomba anijulishe lini yatakuwa out?
Me ni mmoja wa wahitimu wa kidato cha sita 2012 mpaka sasa sinatetesi kuhusiana na matokeo ukiangalia hapa sina ajira na maisha n magumu kwa yeyote mwenye fununu naomba anijulishe lini yatakuwa out?
kweli bro!!
Una hamu ya kuiona hyo zero yako eeeh?
yo wrong brah!, nna ham ya kuona division one yangu, hlf nna wacwac kama ww ni senetor mana senetor hawez kupost pumba kama hiyo
wanao pata one huwa hawana presha na matokeo,ila nyie viazi ndo presha znawapanda kila kukicha.
Matokeo yako haya HAPA