Matokeo kidato cha sita 2012 lini??

Status
Not open for further replies.
Fellas how r u doin، sasa nimepata intell mpya,i.e if u wanna know abt t,after everythng i،ve said.Afu by the way kama hujajua kuchelewa kwa matokeo(yeah kucheleweshwa,kwa mpango mpya haikupangwa kufika mpaka sasa trust me) tatizo sio IT department or usahihishaj o whatever,bali ni polytical(dont ask)
 
Jamani mboni kimya kingi tunasubiri matokeo kidato cha sita au mpaka ipte mei mosi?

duh 2lia 2 kijana,shusha presha mazuri hayataki haraka. Ila kiufupi kuna matatizo flan ya kisiasa ndo chanzo. Hopefully kesho o kesho kutwa mambo yatakua hadharani
 
fellas how r u doin، sasa nimepata intell mpya,i.e if u wanna know abt t,after everythng i،ve said.afu by the way kama hujajua kuchelewa kwa matokeo(yeah kucheleweshwa,kwa mpango mpya haikupangwa kufika mpaka sasa trust me) tatizo sio it department or usahihishaj o whatever,bali ni polytical(dont ask)

2pe more info mkubwa
 
vijana vip tena mbona mna shaka mno kama vp potezeeni c mnajiamini!wasiwasi wa nini?paper uandike wewe,mtandaoni usumbue.e bwana just wait..
 
Punde tumetoka kwenye Mkutano wa kujadili matokeo ya kidato cha sita chini ya uenyekiti wa Mwenyekiti wa Baraza la Mitihani,Prof. Rwekaza Mukandala.Matokeo yatatoka wakati wowote kuanzia sasa.Lazima iwe juma hili.Dr.Ndalichako ameshapewa agizo la kuyatangaza.Matokeo kiujumla si ya kuvutia.Watahiniwa kaeni chonjo...
 
Plz kaka vp? Ufaulu umeshuka kwa asilimia ngap? Nani mchepuo upi umefanya vizuri?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom