Material ya psptb level 3

Brey_Jacky

New Member
Oct 23, 2015
3
2
Habarini wapendwa.

Mm ni mwanafunzi wa board ya Ugavi na manunuzi Psptb. Nilikuwa naomba kwa wale ambao wameshasoma P3 msaada wa soft copies za notes,
Kwa wale watakao sema niende board, nmeshaenda nmepata past papers na vitabu vichache, nahitaji material zaidi.

Kwa yeyote mwenye nayo please nicheck
brenjack95@gmail.com

Asanteni.
 
Back
Top Bottom