Bakora ya Gizani: Kirindarinda cha uchawi ulivyopeperusha maisha yangu

Sham777

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
334
836
True Story. (Simulizi ya kweli yaliyonikuta kwenye maisha yangu)

SEHEMU YA KWANZA

Mwaka 2001 mimi na familia yangu tulihamia Mkoa wa Mbeya baada ya Mzazi kuhamishiwa kikazi huko, hivyo ikanilazimu pia kuanza masomo upya. Kipindi icho nilikuwa naingia kidato cha nne ivyo sikufanikiwa kupata shule ambayo ningeendelea kidato cha nne nilazimika kurudia kidato cha tatu..

Baada ya muda nikawa nimepata rafiki ambaye alikuwa ni moja wa classmate jina lake “***” tumwite Tajiri.

Tajiri kwao walizaliwa watoto wanne yeye akiwa mtoto wa pili kuzaliwa na wa kwanza ni kaka yake ambae alikuwa anaitwa Mudy. Mudy alikuwa tayar kesha maliza form 4 ila yupo nyumban tu kutokana na afya yake ilikuwa sio nzuri hivyo kupelekea kutoendelea na masomo licha ya kuwa na matokeo mazuri yanayo mruhusu kuingia kidato cha tano. Pia Kwa sababu ambazo hata mimi mwenyewe nilikuwa sizijui, Licha ya kurudia darasa mambo yalikuwa ni magumu upande wa darasani ila Tajiri alikuwa ni mmoja wa wanafunzi waliokuwa wanafanya vizuri sana darasani na ndio sababu ya mim na yeye kuwa marafiki wakubwa, alikuwa akitumia muda mwingi sana kunifundisha..

Pia tulikuwa ni majirani kutoka nyumba yetu na ilipo nyumba yao ni kama Mita 100 (umbali kiwanja cha mpira) hivyo kupelekea baadhi ya siku kulala kwa kina Tajiri sababu tulikuwa tunajisomea.

Kama kawaida muda hausimami, maisha yakawa yanaenda, ilivyo fika kipind cha mwezi wa sita tulifanya mtihani kwa ajili ya likizo na matokeo yalivyo toka nilikuwa moja ya wanafunzi walio fanya vibaya sana darasani (kumbuka kipindi hiki nimerudia form 3) licha ya kuwa na backup ya mtu anae jiweza darasani na tulikuwa tunakaa siti za karibu. nakumbuka karibu kila kitu nilikuwa na copy kwake katika mitihani ila matokeo yalivyo toka Tajiri alikuwa na wastani mzuri sana ila kwa upande wangu ilikuwa ni huzuni.

Nyumbani kwetu mama haku nikasirikia sana kwa sababu alikuwa anaona jitihada zangu maana kuna kipindi nilikuwa nakesha mbaka saa nane za usiku nikijisomea na always nilikuwa wa mwisho kulala sababu meza ilio kuwa inatumika kwa kulia chakula ndio nilio kuwa natumia kusomea hivyo ilikuwa kawaida wakimaliza tu kula nasafisha na kuweka materials yangu na kuanza kula pindi, kuna kipindi Tajiri pia alikuwa analala kwetu na utaratibu wetu ni ule ule kusoma ilikuwa kipaumbele chetu.
Mzee wangu walikuwa ni wale wazee wa kibongo sio wasiofatilia maendeleo ya mtoto, kazi yake kubwa ni kuhakikisha ametoa hela, msosi umenunuliwa mmekula, hanaga time na mambo mengine si shule kimetokea nini, sijui matokeo yako vipi, n.k Ni wale wazee wakitoka job lazima apitie viti virefu apige mambo ikifika mida ya sita night ndio anarudisha majeshi nyumbani.

Kipindi tunafurahia likizo ya mwezi wa sita ghafla Mudy (kaka yake Tajiri) alifariki usiku akiwa amelala. Hii ilitustua wengi sana maana ni ghafla na usiku alikula chakula chake vizuri, akaaga anaenda kulala hakuonesha dalili zozote zile , ila huenda homa ilimpanda zaidi. Basi taratibu za mazishi zikafanyika pale Jamaa akazikwa na mambo mengine yakaendelea.

Basi likizo yetu ilikuwa inaelekea ukingoni, Tajiri alikuwa amemsimulia baba yake kuhusiana na matokeo yangu shule ivyo baba yake akapanga kukutana na wazazi wangu ili wajue wananisaidiaje. Baba yake Tajiri ni wale wazee wana jali sana familia, ila alikuwa ni mzee wa Kujiongeza sana, aliamini sana imani za kishirikina.

Kama ilivyo desturi mtu akifiwa baada ya msiba kuisha na watu kutawanyika watu wengi hutembelea wafiwa na kuwapelekea zawadi kwa ajili ya kuwafariji.. Nakumbuka siku iyo ilikuwa j.pili ambayo kesho yake ndio siku ya kufungua shule mida ya mchana mama akawa amenunua sukari 2, Chumvi pamoja na vizaga vidogo vidogo kwa ajiri ya kwenda kuwafaliji wafiwa. Mida ya saa kumi jion hao tukawa tumeenda pale tukawakuta wote.

Kama desturi baada ya salamu nikawaacha wakubwa wazungumze mimi huyo nikaenda room kwa Tajiri tukawa tunapiga stori mbili tatu, baada ya kama saa zima mdogo wa mwisho mdogo wa mwisho wa tajiri anaitwa Zai akawa amekuja kuniita kuwa naitwa sebuleni na mama nikajua tayari mda wa kuondoka umefika nikamuaga jamaa.. Ila nilivyo fika sebuleni nikakuta mazungumzo ndio kwanza kama yanaanza sababu nilikaa zaidi ya dkk tano bila kuona mtu akiaga.. Basi baba yake Tajiri akanipa mutsari kidogo kumbe maada kubwa iliyo kuwa ikijadiliwa ni kuhusu mim na performance yangu ya kusua sua shuleni kwa matokeo mabaya nayopata . Baba yake Tajiri alikuwa amesha ona kitu ivyo akamshilikisha mzazi wangu asikie atasemaje.. Kumbe ikaonekna kwa sehemu tuliyohamia ni kawaida sana wataalamu wa mambo kukujaribu wakupime nguvu.

Basi kama kawaida tukawa tumemaliza maongezi pale ikapangwa mihadi ya kwenda “Chimbo” fulani ivi kwa mtaalam tukacheki rada ili tujue tatizo ni nin, kilicho kuwa kinahitajika ni hela tu ambazo inabidi mzee wangu ashirikishwe ili atoe hela izo maana mama yeye ni mtu wa home izo hela yeye hana.

Tukawa tumerudi home ili na mimi nipate time ya kujiandaa kesho Shule, ikafika Jion tukapiga dinner kama kawaida tukawa tuna msubiri mzee arudishe majeshi homeakitoka huko kwa kina mupe yure muruke yure kwenye viti virefu. Siku iyo mim niliwai kulala ivyo nikamuacha mama peke yake akimsubiri.

j3 ikafika nimejiandaa tayari kwa kwenda shule, kawaida yetu ilivyo ni lazim Tajiri anipitie sababu nyumban kwetu ndio njia ya kwendea shule hivyo ni lazima apite kwetu ndipo tunaongozana kwenda shule. Nikawa nimemsubilia Jamaa nikaona kimya hivyo nikasema ngoja nitangulie nitakua natembea slow ili jamaa akija anikute njian. Basi ile natembea mdogo mdogo adi nafika shule jamaa hajatokea hata nikigeuka nyuma simuoni. Nikajipa moyo siku ya kwanza mambo yanakuwaga mengi huenda jamaa alipitiliza usingizi ndio maana kachelewa. Mbaka unafika muda wa assemble (mstalini) jamaa alikuwa hajatokea na sioni hata dalili..

Ilivyo fika mida ya mapumziko ndipo kuna dogo ambae anakaa jilani na Tajiri akanitafuta na kunijuza kuwa Nyumbani kwa kina Tajiri kuna msiba mwengine, Aisee! Nilipigwa na butwaa na kubaki mdomo wazi, nilishangaa sana na kujiuliza nani huyo wakati jana tumewakuta wote wakiwa wazima wa afya. Nilichoka zaidi baada ya kuambiwa ni yule dogo Zai ambae alikuja kunijulisha kuwa ninaitwa sebuleni ndio kafariki. Niliona kama ni muujiza mithili ya radi kupiga kiangazi ikabidi fasta fasta nirudi darasani nichukue begi langu kisha nduki, ilikuwa mara yangu ya kwanza kuondoka shule vipindi vikiwa bado havijaisha, moja kwa moja nikapitiliza kwa kina, njia ya kwenda kwao ni lazima upite kwetu ila sikuwa na akili hata ya kuacha begi nyumbani.

Nimefika nikakuta wamesha toa vitu na vijana ndio wanatandika maturubai, Asikuambie mtu!! uchungu wa mwana aujuaye mzazi, mama yake Tajiri alilia kwa uchungu huku akitamka baadhi ya maneno nilijikuta pia machozi yananitoka, Sio sababu ya Zai bali huzuni aliyo kuwa nayo mama yake nilimwonea huruma sana. Kumbuka kifo cha Mudy na Zai havijapishana hata wiki. Zai alikuwa mtoto wa mwisho alikuwa na umri wa miaka 9 tu alikuwa anasoma darasa la pili.

Nikapenya penya nikafanikiwa kuingia mbaka room kwa Tajiri nikamkuta akilia pia kwa huzuni sana ile hali ilinifanya nishindwe kujizuia na mim nikajikuta nabubujikwa na machozi. Baada ya muda Tajiri alinyamaza na kuanza kutusimulia maana tulikuwa kama vijana watano room mule. Mazingira ya kifo cha Mudy na Zai hayatofautiani hata kidogo. Zai pia baada ya dinner aliaga anakwenda kulala akiwa mzima kabisa. Mama yake alipo kuwa anaenda kumwamsha asubuhi ili amwandae kwa ajiri ya shule ndipo alipo gundua Dogo umebakia mwili tu roho haipo pale..

Safari hii baba yake Tajiri baada ya kukaa na wazee wenzake alishauriwa jambo, baada ya msiba tu kuisha huyo akasafiri akaingia chimbo kucheki radar.. walio enda kuona familia hawakumkuta mzee ila walimkuta mama na watoto wawili. Kama kawaida mim na mama tulienda pia ila safari hii tulienda mikono mitupu sababu ya vyuma kukaza. Mzee wangu ni aina ya mtu ambae hajishughulishi na mambo ya kijamii ivyo kumkuta msibani, Harusi au kwenye vikao vya maana ni nadra sana ila kwenye viti virefu huwezi mkosa. Hiyo ni tabia yake sababu hata kijijin kwao ikitokeaga misiba, harusi huwa haudhurii labda kama unamhusu sana..

Wakati baba yake Tajiri yupo Safari maisha yakawaida ikabidi yaendelee tukaanza kwenda shule. Nakumbuka ilikuwa ijumaa ya mwezi wa saba siku hiyo kulikuwa na Testi ya Hesabu, kama Mwalimu alikuwa ameingia ameshika mitihani ambayo tayari ime printiwa pamoja na pepa za kufanyia. Akaanza kugawa zile Pepa za maswali akiwa amezigeuza upande wa maswali ukiwa chini ili akimaliza kugawa ndipo atoe amri ya kuzigeuza ili kila mtu asome maswali kwa wakati mmoja. Nikawa nimepata karatas yangu ya mswali na ya kujibia ila ya maswali ikiwa imeguuzwa niki wait ticha agawe ndipo tupewe amri ya kuzigeuza.. Basi akawa amemaliza kugawa darasa zima, ticha akatoa amri sasa mnaweza geuza msome maswali.

Cha kushangaza nilipo geuza yangu upande wa Pili ilikuwa nyeusi kote haina maandishi, nikiangalia majirani zangu naona wako bize tayari wengine washaanza kufanya maswali.. , nilitoa leso yangu nikafikicha macho ila sikuona utofauti nikanyosha mkono,.

Inaendelea..

>> SOMA HAPA SEHEMU YA PILI <<

SEHEMU YA PILI

Ticha akaja nikamwambia Karatasi yangu haina maswali iko blank, nikaona ticha ananikazia macho, akaichukua karatasi akainyosha juu akawaambia wanafunzi wengine mwenzenu anasema hii karatasi haina maswali ipo blank, basi wanafunzi wote wakacheka sana only Tajiri peke yake ndio hakucheka.. Wanafunzi wengi walihisi huenda naogopa mtihani ndio maana nikajifanyisha kuwa sioni maandishi kwenye ile printed paper.. Basi yule ticha akajiongeza akachukia ile pepa akampa jilani na akachukua pepa ya jilan akanipa nikaichukua ile naiweka kwa dawati picha ni ile ile sion maandishi. Ikabidi nimwambie tena Sioni maandishi, safari hii ticha akaona kama nafanya masihara ivyo akasema simama nikukute ofisini na iyo karatasi.. Ni kweli ile karatasi binafsi nilikuwa sioni maandishi yoyote naona kama lim paper ambayo haina maandishi.

Nikiwa nimekaa ofisini huku nimeshika pepa yangu nikimsubiri ticha amalize kuwasimamia wanafunzi ile test ndipo kuna ticha mmoja akaniuliza kulikoni upo huku?. Nikamwambia Ticha anaesimamia test amesema nimsubiri hapa. ticha yule akashangaa.. maana mtu kuitwa ofisi ya walimu lazima uwe kuna kosa umefanya au uwe ni mwanafuzi kiongozi (kilanja)..

Yule ticha akawa amemaliza kusimamia wale wanafunzi akawa amekuja Ofisini safari hii sura yake ilikuwa imekasirika zaidi akafika pale akanikuta na pepa langu ile akaichukua akaanza kuongea ili walimu wengine wasikie ili nishughulikiwe vizuri. Alihisi huenda sababu mimi kilaza nimetunga sababu nisifanye ile pepa.. “Tizamen hii karatasi huyu mwanafunzi anadai haina maandishi ivyo amegoma kufanya mtihani lazima nimshughulikie”.. Kwa bahati nzuri kuna ticha mmoja alikuwepo huwa tunamwita jina la utani Babu..

Ticha Babu akawa amemwita yule Ticha akasema njoo na iyo karatasi, Yule ticha akaikabidhi, babu akaiangalia akamwambia mruhusu huyu mwanafunzi aende. Nilivyo sikia ivyo moyo ukapata ahueni sababu maana ambacho kingefatafata pale ni bakora zisizo na idadi. Yule Ticha babu alikuwa anapajua ninapo kaa sababu ndio njia yake pia kuelekea kwake, pia nae ni mtu wa Vyombo sana. Nikarudi class ile naingia wanafunzi wakaanza kucheka only ninja wangu Tajiri alionesha sura ya kunionea huruma.. Ile nimekaa kwenye Siti hazija fika hata dkk tano akawa amekuja tena yule ticha wa hesabu akaniita tena.. Nikajua mambo yameharibika ila safari hii alikuwa mpole sana. Akaniambia chukua begi lako pia uje nalo, akaniambia nenda nyumbani kapumzike tutaonana j.3. Akaniuliza kama nahitaji mtu wa kunisindikiza nikajibu ndio. Akasema hakuna shida ila nilishangaa sana kwanini kaja akiwa mpole vile. Basi mim na Tajiri tukawa tumerudi nyumbani mapema sana..

Tumefika home tukamkuta mama, Tajiri akamwelezea kila kitu. Mama alisikitika sana hivyo tajiri nae akaelekea kwao.. Tajiri alivyo fika kwao akakutana na mzee wake nae amewasili home ameingia na mabasi ya asubuhi sababu alikuwa safari.. Wakamuhoji kulikoni mbona mapema akawa amewaelezea kisa chote.. Baba yake Tajiri alikuwa ashausoma mchezo kwa sababu alikuwa ametoka chimbo alielezewa kila kitu na mtaalam..

Wakati tunapata chakula cha mchana mim na mama tukasikia mlango unagongwa, nilipo enda kufungua ilishangaa sana Kumwona Tajiri akiwa na baba yake.. Maana baba yake Tajiri hajawai kuja nyumbani kwetu zaidi ya sisi kwenda kwao. Nikawakaribisha sebleni akakaa pale kama kawaida mimi na Tajiri tukaenda kukaa room kupiga stori.. Wakati huo mama na baba yake Tajiri wakiwa na maongezi seblen. Hakukaa sana Tajiri akaitwa Hao wakaondoka na Baba yake..

Kiukweli kulikuwa na tatizo kubwa sana Upande wa kina Tajiri sababu mama alinisimulia kidogo, Endapo wakichelewa familia yao nzima itapukutika kama kuku wenye videli. Niliumia sana.. Ivyo nikaambiwa niandae vitu vyangu kesho mim, Tajiri na baba yake tajiri tunasafiri.. Sikuhoji sana ila nilitaka tu kujua tunasafiri tunaenda wapi? Na sio kawaida na kwanini iwe ghafla ivi.. Basi nikaambiwa na mama matatizo yangu ambayo alikuwa amejulishwa na baba yake Tajiri ivyo wakaona Busara watumie mda vizuri wasafiri pamoja na mimi pia.

Asubuhu na mapema nikiwa nimepanga vitu vyangu muhim kwenye bag langu la shule mama akanisindikiza adi kwa kina Tajiri tukawakuta nao wakiwa tayari kwa safari yakwenda chimbo. Mimi, Tajiri na baba yake hao tukaelekea standi tukapata basi na safari ikawa imeanza rasmi.. Safari ilikuwa ni ndefu, mida ya takribani saa kumi tukawa tumeingia kijiji kimoja ndipo ilikuwa destination yetu tukashuka pale tukatafuta usafiri wa kutupeleka Sehemu husika.. Mida ya saa moja hivi tukawa tumefika sehem husika.. Tukapokelewa vizuri pale cha kushangaza kulikuwa na mama mmoja ana asili ya kiarabu ndio alie kuwa mwenyeji wetu. Pia alikuwa na wasaidizi wake wawili wa kiume wao walikuwa na asili za kiswahili tu kama sisi.. Ilipo fika mida ya dinner tuliandaliwa msosi na Binti wa yule mama, alikuwa ni bint mzuri sana mixer mwarabu X mswahili “shombe shombe”mtoto alikuwa ni mashallah yaan ni fireee..

Ilipo fika mda wa kulala tukatandikiwa godoro na sebleni na yule Bint pamoja na wale vijana wasaidizi wa yule mama.. Kabla ya kulala Baba yake Tajiri akatumbia mim na Tajiri kuwa yeye Kesho asubuhi sana ataondoka kuelekea nyumbani sababu kuna vitu anataka akaviweke sawa pamoja na kutuombea ruhusa shuleni siku ya j.3.

Ilipo fika Asubuhi nilimwona Tajiri akiwa amelala ila baba yake alikuwa amekwisha ondoka asubuhi sana ili awahi gari. Hakuweza kutuaga sababu alijua kabisa tulikuwa na uchovu wa safari.. Basi akaja yule Bint akawa ametuletea Chai pamoja na maandazi ndipo nikamwamsha Tajiri tukaenda nawa na kupiga mswaki ili tuje piga chai.. Basi baada ya chai yule mama nae akawa amekuja seblen pale ni mcheshi sana pia muongeaji yuko so Humble. Kutokana na uwongeaji wake Ndani ya mda mfupi unakuwa umemzoea na kumuona rafiki hivyo hata kama ulikuwa unajihisi mpweke, aliupoteza.

Day 1 kwa mtaalam..
Watu walikuwa wanakuja pale rika na matabaka tofauti tofauti wanatibiwa na mama yule wanaondoka.. Mbaka inafika mida ya saa kumi na moja Jioni nikahisi huenda sisi ametusahau na isitoshe tumetoka safari ndefu sana sababu alikuwa hatuulizi chochote zaidi ya story za utani tu.

Ikafika mida ya saa kumi na mbili movements za watu zikawa zimepungua tulio kuwepo ni sisi tu. Basi yule mama akawa ametuita sebleni kwake, bint yake pia akawa amekuja pale.

Ili kututoa hofu akaanza na maneno yake ya utani utani pale. Tukawa wote kwenye mood nzuri, akaanza kwa kusema Ndugu zangu nimewaangalieni nyote nimeona kuna matatizo. Akanipoint mim akasema wew matatizo yako yamekwisha ila kuna mambo machache tutayakamilisha, ila huyu mwenzako ana matatizo makubwa sana na inabidi tumsaidie kwa haraka sana.. Akaniambia wew tatizo lako tunaweza kulimalizia hapa hapa ila tatizo la mwenzako ni lazima tuende kwenye chanzo cha tatizo ndipo tulimalizie.. Akanisimulia chanzo pia cha tatizo langu, ivyo kulitatua inabidi tatizo tumwamishie mtu mwingine nae atapambana atajua atalitatua vipi.

Akasema leo usiku atatatua tatizo langu na baadhi ya vitu nitamalizia mwenyewe nikirudi kwetu..

Pia akatushaur leo tuwai kulala sababu anataka anitibie mim, nikashangaa ananitibiake wakati nimelala.. Ikafika mida ya dinner tukapiga msosi nakumbuka yule bint alikuja kula mezani na sisi. Nilimsimulia mambo mengi ya town ivyo akawa so interested basi ikatokea kunikubali sana nikawa nimepata rafiki mpya pia.. Ikafika mida ya kulala ilikuwa saa nne wakatuletea godoro kama kawa wakatindika lakin story zilivyokuwa zimenoga tulipiga mbaka saa sita usiku ikabidi yule mama aje kumtimua yule binti ili atuache tulale. Nilikuwa nataman asubuhi ifike haraka ili nipige story na yule binti.

Asubuhi ikafika cha kushangaza mwili wangu ulikuwa na chale za kutosha tu pia zilipakwa dawa nyeusi kama masizi ya mkaa.. Nilijiuliza sana imekuwaje hii ikabidi nimwamshe Tajiri ili nimwoneshe alipo amka alishangaa sana. Kuangalia mlango labda tulilala wazi mtu akapita, lango ulikuwa na komeo za kutosha tu na ulikuwa umefungwa na hakuwa na dalili zozote za kufunguliwa..

Nikawa nimefungua nitoke nje kujisaidia nakutana na mtoto yule Binti alikuwa ana wait tuamke atuletee chai kama kawaida yake.. Basi mim na ndugu yangu tukanawa tukaka seblen, wakati huu bint nae alikuwa anashiriki meza pamoja nasi. Hakika binti ni mzuri kama mama yake mchangamfu pia akisha kuzoea ana story pia mbili tatu.. Mama yake akawa amekuja pale neno la kwanza akasema Kijana wew ni mwepesi sana ndio maana walikuonea sana. Akaniambia sasa nimesha malizana na wew kesho mnaweza kuanza safari ila unachotakiwa kufanya sasa inabidi usafishe izo sehem na maji ambazo nimekuchanja kisha hayo maji utayaweka kwenye kopo utaondoka nayo.. Ikawa hivyo basi bint akaniandalia maji ya moto na sio kawaida yake kufanya ivyo kwa wageni wa mama yake imagine mbaka mama yake alishangaa akatuambia sio kawaida ya bint yake ni vile damu zetu zimepatana tu..

Ikawa hivyo nikaosha maeneo yote kisha yale maji nikayaweka kwenye kopo kubwa mfano wa kopo la Kilimanjaro 1.5L.. Nikapewa maagizo nin niende kifanya pindi nikifika Home.. Hii safari ilikuwa mahusus kwa ajiri yangu Tajiri alikuja kusomewa radar tu na ikaonekana tatizo lake ni kubwa ivyo lazima wakatatulie kwenye chimbuko la tatizo..

Ikafika jion tukajiandaa kwa ajiri ya kesho safari kurudi Nyumbani kwetu, Tajiri hakuwa mtu wa furaha nahis sababu ya yale maneno ya yule mama yalimchanganya..ikafika mida ya dinner tukashiriki ya yule Bint pia na ndio ilikuwa furaha yangu sehem ile kuwa karibu na yule Binti. Nilianza kupoteza furaha pia kila nikikumbuka kesho Asubuhi naondoka na kumwacha yule Binti moyo ulifadhaika sana. Nakumbuka tulipika Story mbaka saa sita usiku ndipo tukalala.. Ilipo fika asubuhi tukajiandaa wale wasaidizi wa yule mama walikuja kwa ajili ya kutusindikiza.. Nakumbuka yule Binti alinipa zawadi alikua kaifunga kwenye leso akasema usifungue mbaka utakapo fika kwenye gari na mim nikaiweka kwenye bag nikasema nitaifungua nikifika nyumbani.

Vijana wakatusindikiza tukapata gari la kurudi nyumbani, baada ya masaa ya kutosha tulifika stand na kumkuta baba yake Tajiri anatusubilia akatupokea ilikuwa mida ya saa kumi na mbili jion..

Mim nilipitiliza kwetu na Tajiri na baba yake wakaenda kwao.. Ilipo fika mida ya saa mbili ndio ilikuwa mda mzuri wa kutekeleza agizo la mama yule kuhusu yale maji huku nikiwa na hamu ya kufungua ile zawadi nikasema sifungui mbaka nimalize kila kitu nikiwa nimetulia ndipo nitafunguo nione..

Nikatoka na Kopo langu la maji mbaka njia panda kama nilivyo pewa maagizo, nikayamwaga yale maji pale (kumwaga maji njia panda inamaanisha nafuta agano na na jini nilie tupiwa ivyo atakuwepo pale njia panda na mtu yeyote atakae katiza pale njia panda akayaluka yale maji basi yule jini anakuwa amepata makazi mapya, na ndivyo nilivyo fanyiwa pia.) Nilivyo rudi nyumbani nikaoga kisja nikafungua begi ili nicheki zawadi yangu, nilipo fungua ile Leso ndipo nilipo kuta shiling Elf 12 na mia tano. Zilikuwa note noti nyingi sana inaonesha yule binti amezichanga kwa mda mrefu sana nilifurahi sana.. Nilimsimulia mama kila kitu ila siku msimulia kuhusu yule Bint..

Siku inayo fata sikwenda shule sababu ya uchovu wa safari, mchana nilienda kwa Tajiri nikamsimulia kuhusu ile zawadi nikamtoa pia shiling elfu 2.. Baba yake alikuwepo pia akanisii kuwa mambo yote niweke siri watu wengine wasijue.. Pia akanijuza kuwa week ijayo Yule mama atakuja kwa ajili ya matibabu yao ivyo angependa pia niwepo nishiriki sababu ananiona kama sehem ya familia yake nilikubali.. Maombi yangu makubwa nilikuwa naomba yule mama aje na yule Binti..

ITAENDELEA.....

Peramiho yetu Semere92 google helper Mshana Jr Machozi ya Simba
 
ticha akatoa amri sasa mnaweza geuza msome maswali., Cha kushangaza nilipo geuza yangu upande wa Pili ilikuwa nyeusi kote haina maandishi, nikiangalia majirani zangu naona wako bize tayari wengine washaanza kufanya maswali.. , nilitoa leso yangu nikafikicha macho ila sikuona utofauti nikanyosha mkono,.

Nakumbuka hili tukio lilitokea veta ya mbeya kuna mwanafunzi kipanga wenzie walimpima nguvu wakaona ni mwepesi basi wakamchezea bwana, siku ya pepa alikuwa anaona byavu kwenye pepa aisee!!

Dunia ina mambo hii, Mambo mengine tuyasikiage tu usiombee yakukute
 
Tags kwa watu ambao huenda wakavutiwa

Kona4
chief command
John Joba
Baharia Wa Buza
Stability
bullar
Papaa007
the-sniper
ALEX_ANDER
Kigogo2020
Don msafi
grizzman
imani hakuna
Baba Watoto
bongonyoo
Single Phase
Noelia
Da'Vinci
Deceiver
Cyb
Innovator97
flulanga
EP PRO
princess ariana
k-bee
Bushmamy
Zabron Hamis
Komeo Lachuma
kijiweni jr
tracebongo
digba sowey
Baraja
Heaven Sent
Mishil
Mr Devil
nipekidogo
sawima
Daughter of God
kasulavenance
MLEVi Mmoja
Citizen B
msafwa93
Gyole
Scars
Mine eyes
hiram
Mshana Jr
Kingfisher
sayoo
Nyani Ngabu
Ghost Worker
Styles
The Monk
yna2
Mega Mind Nyerere
maxime
Zurri
AlphaMale
Consigliere
Nyumisi
TheChoji
Mbao za Mawe
tilmikha
fazili
Babumawe
Jokajeusi
Mtyela Kasanda
Mbwa dume
Chakaza
DAMICON AGRIFARM
Liwagu
Bujibuji
Kiranga
LUSEKELO MWAKITONGA
Avriel
Nicklaus
elvischirwa
hearly
Computer Virus
jd41
google helper
morgan fisherman
Ngadu01
Mtu nisiyejulikana
DiasporaUSA
The great jay
nosspass
Demi
Bhagavan
Horseshoe Arch
Duke Tachez
rip faza_nelly
School face
Proved
October man
machiaveli
Galbi
Depal
KakaJambazi
Kivumishi Kielezi
black sniper
del moe
GOD my watcher
lordchimkwese
LIKE Niku ADD
stroke
Elungata
makedonia
Comet
samurai
Samily de cruze
rmjusi
Cash Money Forever
kajamaa kadogo
faru john junior
Mndali ndanyelakakomu
Root
Eli79
mng'ato
RRONDO
Smart Technician
uberimae fidei
Papushikashi
MeruA
Ibra_Chabenz
Goite
nyakandula
Binti1
dingimtoto
Giancarlo
Southern Highland
prochcare
mjusilizard
Masanja
Salange
mzee74
Use brain Heriel
BILGERT
kanuga
Behaviourist
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom