Matatizo ya Flat Screen TV: Umeishakumbana nayo?

Hizi akili za kimaskini ni tatizo!Yaani eti mtu anafurahia kukaa na tv muda mfupi ili anunue nyingine!Kwa hiyo ndio kusema hamtaki vitu durable kwa sababu za kijinga kama hizo?Mimi nilinunua Hitachi tv mwaka 1999 hadi leo ipo inafanya kazi vizuri na haijawahi hata kuonyesha hitilafu yoyote japo ninatumia LG kwa sasa.Ningependa hata kama nitaibadili isiwe eti imeharibika!Kwa akili matope ninayoiona naamini mavitu feki hayataisha hapa nchini.Kuna watu wajinga sana hapa
Andika na wosia kabisa ukifa na hiyo TV ya kibingo wakuwekee humohumo ndani ya sanduku maana sidhani kama kuna mjuu atakayekubali kurithi TV hiyo haya ni mambo ya teknolojia toka kibiongo imekuja LCD,led na sasa smart TV wewe unakomaa na kibiongo natarajia we ni wa kale hata cm unayotumia kuingia nayo jf ni Nokia jeneza kwa kuwa kuwa haukubali mabadiliko.
 
Ninafikiria kununua flat screem tv lakini watu wanasema zina matatizo sana kulinganisha na tv za kawaida-yaani zile za chogo( cathode ray tubes)
Madai haya yakanifanya nifanye utafiti kidogo kwenye internet na kukuta kweli watu wanasema zina matatizo mara kuzima ghafla,kutoa picha mbaya,nk. Hata nilikutana na maelezo yaliyonitisha eti "kama ulinunua flat screen tv imemaliza miaka 2 bila shida yoyote mshukuru Mungu sana"
Sasa naomba ambaye ameitumia muda refu aina hii ya tv anitoe wasiwasi kama hajapata matatizo yoyote.
Nina tevion 32" tena la mtumba toka UK, huko inaonesha limetumika zaida ya miaka 3, hapa sasa ninalo kwa miaka 2 liko bomba kabisa, picha ni safi sijapata kuona
 
Mm ni fundi TV na vifaa mbalimbali vya electronics, kiukweli flat ni TV ambazo ikikuharbikia kuna mawili kutopona kabsa na mara chache sana kupona.Zaidi kurepear kwake hadi unue mashne mpya mana zinaua sana IC ambayo kuipata ishu.
Na mara nyingi matengenezo yake si chini ya laki
 
Mm ni fundi TV na vifaa mbalimbali vya electronics, kiukweli flat ni TV ambazo ikikuharbikia kuna mawili kutopona kabsa na mara chache sana kupona.Zaidi kurepear kwake hadi unue mashne mpya mana zinaua sana IC ambayo kuipata ishu.
Mkuu napataje kioo cha singsung inch 24,yangu imepasuka kioo ila inafanya kazi maana cku hiz tunaisikiliza km redio tu.
 
Ninafikiria kununua flat screem tv lakini watu wanasema zina matatizo sana kulinganisha na tv za kawaida-yaani zile za chogo( cathode ray tubes)
Madai haya yakanifanya nifanye utafiti kidogo kwenye internet na kukuta kweli watu wanasema zina matatizo mara kuzima ghafla,kutoa picha mbaya,nk. Hata nilikutana na maelezo yaliyonitisha eti "kama ulinunua flat screen tv imemaliza miaka 2 bila shida yoyote mshukuru Mungu sana"
Sasa naomba ambaye ameitumia muda refu aina hii ya tv anitoe wasiwasi kama hajapata matatizo yoyote.
Siyo kweli ni tv safi na zinaonyesha clear kuliko chogo ila kwa video zenye resolution ya kutosha kama resolution yake iko chini itaonekana vibaya sana.
Mimi nnayo samsung niliinunua 2012 haijawahi nisumbua na nina lg now imemaliza mwaka haina shida.
 
Tafuta sony bravia led. Ya warrant ya 2 years mie ninayo for 3 years now haisumbui chochote. Tatizo watu wengi hupenda vitu vya bei rahis matokeo yake vina wa cost sony bravia nchi 32 huipati chini ya 6. 5k kwa kariakoo sasa utakuta mtu anakwenda kununua copy ya sony ya laki 4 mpaka 3. 5k halafu anasema kanunua sony bravia. Siku hizi wajanja wengi wamecopy majina ya sony na wameingiza bidhaa sokoni. Cha msingi uwe makini mkuu nenda kwenye maduka yenye bidhaa org usiingie kwa wapiga dili town wanakuvisha copy a tv ukijua umebeba tv utasaga meno hakikisha warrant isiyopungua two years ikizidi sawa lakini isipungue.
Asanteni sana wadau sasa sina hofu tena nitatafuta tu kitu original kama ulivyoshauri. Asante sana mkuu pamoja na wengine.
 
Hizi akili za kimaskini ni tatizo!Yaani eti mtu anafurahia kukaa na tv muda mfupi ili anunue nyingine!Kwa hiyo ndio kusema hamtaki vitu durable kwa sababu za kijinga kama hizo?Mimi nilinunua Hitachi tv mwaka 1999 hadi leo ipo inafanya kazi vizuri na haijawahi hata kuonyesha hitilafu yoyote japo ninatumia LG kwa sasa.Ningependa hata kama nitaibadili isiwe eti imeharibika!Kwa akili matope ninayoiona naamini mavitu feki hayataisha hapa nchini.Kuna watu wajinga sana hapa
Ukute hata gari unayoendesha ni bitle kombi weye....jifunzeni pia kwsnda na wakati
 
Mm ni fundi TV na vifaa mbalimbali vya electronics, kiukweli flat ni TV ambazo ikikuharbikia kuna mawili kutopona kabsa na mara chache sana kupona.Zaidi kurepear kwake hadi unue mashne mpya mana zinaua sana IC ambayo kuipata ishu.
Kwa uelewa wangu. Hizi flat tv mpya zinakuja na dc adapters zake. Mara nyingi vyombo vyenye adapter ni vigumu kuungua. Kunapokuwa na shoti huungua adapter sa sio aC YA MASHINE. HII NINSAWA NA LAPTOPS. ZINAZOUNGUA NA ADAPTER MARA NYINGI NA SIO AC
 
1481561901637.jpg
 
Mimi Nina LG flat screen ilizima gafla toka wk Jana. Najaribu kuwasha haioneshi chochote. Nimeiweka pembeni ila nimeitumia toka 2012.
Mwenye uzoefu wa tatizo hilo anisaidie
Me samsung series4 ukiizima kuwaka unaweza subiri 48hours
 
Achana na chogo mzee njoo ufurahie ulimwenu wa HD (high definition) asikwambie mtu flat ni imara kuliko izo chogo mkuu, me ni muuzaji wa hivyo vifaa ninauzoefu navyo chogo zinasumbua sana kuliko flat

Acha uongo wewe. mimi nina chogo JVC toka mwaka 2001 mpaka leo haijawahi kuleta matatizo.
 
Back
Top Bottom