Karibu mitambo ya solar zilizotengenezwa Marekani, inaletewa na TV-flat-screen-nchi19, 24, 32

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,085
3,729
Hapo vip!
Hii ni mitambo inayotengenezwa Marekani ni mitambo Bora na imara kuliko mitambo ambayo umeshawahi kutumia kutoka katika makampuni mbalimbali.
sifa ya mitambo hii.
-hata jua likiwa hafifu panel zake zinacharge betry kwa kasi kubwa.
-Hata jua lisipo toka week nzima unapata umeme
-Kila mtambo inakuja na bulb nne zenye switch,hivyo unaweza kutumia switch kupunguza na kuongeza mwanga-pia switch unaweza kuongeza mapaka 16
-Kila mtambo unakuja na Tv-flat-screen,charger ya simu unaweza kucharge cmu 5 tofauti kwa wakati mmoja,hivyo unaweza kucharge mpaka simu 30 kwa siku.
-kila mtambo inakuja na Redio,tube-light,panel ambayo ina wat-80 na betry yenye wat 180.
-Mitambo hii ina warrant ya miaka mitano ya matengenezo
-Tv,redio,charger ina warrant ya mwaka mmoja,na unabadilishiwa pasipo changamoto yeyote.
-pia ukiitaji tunakuletea pamoja na mashine ya kunyolea.
-Betry ina life span ya miaka 15 nakuendelea...

Kwa bei tunawakopesha wateja mitambo hivyo wanalipa kidoga kidogo au kama unaweza unalipa cash.Mtambo wa nchi 19-bei ya kianzio ili uletewe na vitu vyote utalipa sh.99,900 na kila mwisho wa mwezi utarejesha 39900,kwa kipindi cha miaka mitatu,nchi 24-bei ni 140900-rejesho kila mwisho wa mwezi ni 55900-nchi32-bei ya kianzio 319,900-rejesho ni 75900-pia ukishalipa hicho kianzio tunakuja kufunga kwa gharama zetu tunakuwekea na umeme wa mwezi mzima bura.hivyo utaanza kulipa mwezi unaofuata.

Pia hayo marejesho unaweza kutuma kidogo kidogo mfano unaweza keweka 1500,2000,1000-ni wewe mwenywe kulingana na kipato chako.

Kwa mawasiliana zaidi kujua bei na jinsi ya kuletewa mpaka kwako na kufungiwa wasiliana nami kupitia 0755736229 na 0621319355.Karibu

MAHALI POPOTE ULIPO TANZANIA TUNAKULETEA
 
Ungetaja bei hapa hapa mkuu ili kurahisisha maisha na kufikia watu wengi zaidi, halafu wenye maswali specific zaidi ndo waingie PM.
Je, mna utaratibu wa kutuma kwa wateja walio nje ya Dar?
Weka bei zenu kwa kila package.
 
Mahali popote ulipo Tanzania tunakuletea
 
Hapo vip!
Hii ni mitambo inayotengenezwa Marekani ni mitambo Bora na imara kuliko mitambo ambayo umeshawahi kutumia kutoka katika makampuni mbalimbali.
sifa ya mitambo hii.
-hata jua likiwa hafifu panel zake zinacharge betry kwa kasi ya kubwa.
-Hata jua lisipo toka week nzima unapata umeme
-Kila mtambo inakuja na bulb nne zenye switch,hivyo unaweza kutumia switch kupunguza na kuongeza mwanga-pia switch unaweza kuongeza mapaka 16
-Kila mtambo unakuja na Tv-flat-screen,charger ya simu unaweza kucharge cmu 5 tofauti kwa wakati mmoja,hivyo unaweza kucharge mpaka simu 30 kwa siku.
-kila mtambo inakuja na Redio,tube-light,panel ambayo ina wat-80 na betry yenye wat 180.
-Mitambo hii ina warrant ya miaka mitano ya matengenezo
-Tv,redio,charger ina warrant ya mwaka mmoja,na unabadilishiwa pasipo changamoto yeyote.
-pia ukiitaji tunakuletea pamoja na mashine ya kunyolea.
Kwa mawasiliana zaidi kujua bei na jinsi ya kuletewa mpaka kwako na kufungiwa wasiliana nami kupitia 0755736229 na 0621319355.Karibu
 
Hapo vip!

Hii ni mitambo inayotengenezwa Marekani ni mitambo Bora na imara kuliko mitambo ambayo umeshawahi kutumia kutoka katika makampuni mbalimbali.

sifa ya mitambo hii.
-hata jua likiwa hafifu panel zake zinacharge betry kwa kasi ya kubwa.
-Hata jua lisipo toka week nzima unapata umeme
-Kila mtambo inakuja na bulb nne zenye switch,hivyo unaweza kutumia switch kupunguza na kuongeza mwanga-pia switch unaweza kuongeza mapaka 16
-Kila mtambo unakuja na Tv-flat-screen,charger ya simu unaweza kucharge cmu 5 tofauti kwa wakati mmoja,hivyo unaweza kucharge mpaka simu 30 kwa siku.
-kila mtambo inakuja na Redio,tube-light,panel ambayo ina wat-80 na betry yenye wat 180.
-Mitambo hii ina warrant ya miaka mitano ya matengenezo
-Tv,redio,charger ina warrant ya mwaka mmoja,na unabadilishiwa pasipo changamoto yeyote.
-pia ukiitaji tunakuletea pamoja na mashine ya kunyolea.
Kwa mawasiliana zaidi kujua bei na jinsi ya kuletewa mpaka kwako na kufungiwa.

wasiliana nami kupitia 0755736229 na 0621319355.Karibu
 
Katika changamoto zilizopo katika huduma ya Solar kwa ujumla maisha ya Berry ni tatizo kubwa. Je life span ya Betty zenu IPO vipi?
 
Back
Top Bottom