Matarajio ya Dawa ya Ukimwi: Ujumbe kwa wana JF

:confused2::confused2::confused2:

''''ooooooooooooooooooooooooooooh....ona sasa..zimefutika message......zimefutika sms........:welcome:

Asee huyu FD bado hajawataka radhi dada zetu na sisi pia concurrently?
 
Sijambo shemeji.Nimerudi rasmi kikazi baada ya kutoweka kama Carmel huko kwenye shughuli za uchaguzi na kura za maoni.
Lakini kuna mtu ananiboa eti wanawake wa kichaga........Na mie nina "uraia" wa Rombo wa kununua.
Huyu FUNZADUME atutake Radhi haraka.kabla hatujaandamana kwa invizibo.

wala huko hatufiki, huyu tutamalizana naye hapa hapa kwenye shina tu shemeji!
 
nasikia mademu wa kichaga ni magogo kitandani? ila sina uhakika

Funzadume, hebu tafuta mmoja wao halafu uje utupe eksipiriensi hapa maana kila siku mwatusema usilete habari za kusikia. :confused2::confused2::confused2:
 
''''ooooooooooooooooooooooooooooh....ona sasa..zimefutika message......zimefutika sms........:welcome:

Asee huyu fd bado hajawataka radhi dada zetu na sisi pia concurrently?
haiwezekani tumpigieeeee
tuweke laudispika tumsikieeeeeeeeeeee
haiwezekani akosee naaambaaaaaaaa
wakati wenye simu ni wengiiiiiiiiiii
 
Funzadume, hebu tafuta mmoja wao halafu uje utupe eksipiriensi hapa maana kila siku mwatusema usilete habari za kusikia. :confused2::confused2::confused2:

yaani watu bado wapo zama za kale kabisa kabisa....
 
Funzadume, hebu tafuta mmoja wao halafu uje utupe eksipiriensi hapa maana kila siku mwatusema usilete habari za kusikia. :confused2::confused2::confused2:

Sia-siiiiii.........:ranger:
 
Funzadume umepotea wapi tena tunakusubiri kaka...........................
 
na karne hii utasema kuna cha uchaga na uzaramo/umakonde? watu wana hila sana...cku hizi acyejua haya mambo nani?
Watu wengine bado wako enzi za TANU.

Sijambo shemeji.Nimerudi rasmi kikazi baada ya kutoweka kama Carmel huko kwenye shughuli za uchaguzi na kura za maoni.
Lakini kuna mtu ananiboa eti wanawake wa kichaga........Na mie nina "uraia" wa Rombo wa kununua.
Huyu FUNZADUME atutake Radhi haraka.kabla hatujaandamana kwa invizibo.

The Following User Says Thank You to Zion Daughter For This Useful Post:

Asprin (Today)​
 
wewe nawe ishu zako nyingi ni za kuckia tu, chache sana ume prove.....hebu mtupumzishe jaamni.
nilikuwa nafanya research kuna wachaga wangapi humu ndani kwa kuwachokoza na kuona wanavyo-react

kumbe nawe ni wale wale kina AIKAMBE
 
zama za kale za mawe!....

ndo kama hawa?

Stone-Age-Man-4230.jpg
 
aisee wachaga wote naomba mnisamehe msije mkanisababishia kifungo kama kila kilichonitkea last month
 
Back
Top Bottom