Matarajio ya Dawa ya Ukimwi: Ujumbe kwa wana JF

wewe naona computer na mitandao vinakutia wazimu sasa!maanake unaleta komandi za kizee hadi kwenye maisha binafsi ya mtu!we kama una hiyo pawa wakoromee sabodineti wako ofisini kwako sijui,au kawakoromee wanao na mkeo...

hapa ni JAMIIFORUMS....!WHERE WE DARE

mwambieeeee sema sema Teamo, where we dare to talk openly!! teh! teh!
 
Kweli lakini, maana tupo tuliozaliwa BC na wengine wamezaliwa AC

BC= Before computers
AC= After computers
wewe inaelekea hata simu ya mkononi huna unaishi maisha ya kiujima ujima tu mbona Obama ni rais lakini anaingia mpk facebook kuchat sembse wewe mlala mchovu
 
mie hata kazi sifanyi nimerithishwa nyumba 4 na wazazi wangu moja iko Upanga nimepangisha wadhungu kazi yangu nikuingia net, kucheza pool na jioni ulabu pesa inaingia kila mwezi kama sina akili nzuri iga ufe

Mara ya mwisho kumsikia mwanaume mzima anaringia au kutambia mali za baba yake ilikuwa form one kule kili boys. halafu kama uko idle siku nzima uta acha ku do the needful kwa mabar maid kweli? :confused2::confused2:
 
Mara ya mwisho kumsikia mwanaume mzima anaringia au kutambia mali za baba yake ilikuwa form one kule kili boys. halafu kama uko idle siku nzima uta acha ku do the needful kwa mabar maid kweli? :confused2::confused2:
kama ulikuwepo vile ni ku-do kwa kwenda mbele niko kama wale wazee wa pwani wanaomiliki mitumbwi mchana wanacheza bao jioni vilabuni wapo na dukani kama kawa ila kazi hawafanyi sema mimi sichezi bao nashinda JF
 
nimeanza page ya 1 nafika ya 7 hata sikumbuki heading inasemaje! funny JF
 
Back
Top Bottom