Matarajio ya Dawa ya Ukimwi: Ujumbe kwa wana JF

funzadume

JF-Expert Member
Jan 28, 2010
13,559
21,040
Ndugu zangu wana JF na umma kwa ujumla tujiadhari na kujikinga na gonjwa ili la UKIMWI dawa iliyopatikana bado inafanyiwa uchunguzi kabla ya kuthibitishwa na WHO kuwa inatibu ili gonjwa. Kwa hiyo inaweza kupitishwa au kutopitishwa

Usipojijali na kujikinga utawakosea wengi sana. MUNGU wako aliyekupa uhai ambao ukitoka haurudi, familia yako uliyoapa kuilinda na kuiendeleza, marafiki zako ambao watakumiss usipokuwepo, taaluma yako uliotumia muda mwingi na fedha nyingi kuipata na kwa UMMA wote unaotegemea huduma yako na uwepo wako katika kuliendeleza Taifa letu la TZ

JIHADHALI NA UJIKINGE

By Funzadume
 
Salama kondomu kama kweli unampenda utamlinda
Tangazo hili limeletwa kwa hisani ya ........
 
kuna option tatu,
1. acha kabisa (kama mimi)
2. kuwa na mpenzi mmoja
3. Tumia kondom

chagua inayokufaa kati ya hizo
 
Kama uwezi kutumia kondom acha!tulia nawako!!Tangazo ili nikwamsaada wa walipa kodi wa J.............:confused2:
 
Asante sana FD kwani kuna watu wamenza Ngono zembe wakidhani dawa imepetikana??
 
kuna option tatu,
1. acha kabisa (kama mimi)
2. kuwa na mpenzi mmoja
3. Tumia kondom

chagua inayokufaa kati ya hizo
Kabla ya kuacha ulipima?
Uliwaacha wangapi?
Kwanini uliacha?
Unamalizaje hamu yako ya kibaiolojia?

Danganya toto dogo kula kande mbichi!
 
kuna option tatu,
1. acha kabisa (kama mimi)
2. kuwa na mpenzi mmoja
3. Tumia kondom

chagua inayokufaa kati ya hizo
namba 3 ndio imekaa vizuri hiyo namba 2 bora ingefutwa maana mtu unaweza ukaamini una mmoja kumbe mwenzio anatoka nje maana binadamu achungiki na huwezi kuisemea nafsi ya mwenzio
 
namba 3 ndio imekaa vizuri hiyo namba 2 bora ingefutwa maana mtu unaweza ukaamini una mmoja kumbe mwenzio anatoka nje maana binadamu achungiki na huwezi kuisemea nafsi ya mwenzio
Yeah! Kama mimi waifu anaamini yuko peke yake. Laiti angejua namtafunia rafiki yake tena wanafanya kazi ofisi moja....... Hapo sijaweka kina Elizaz kadhaa.......
 
Kabla ya kuacha ulipima?
Uliwaacha wangapi?
Kwanini uliacha?
Unamalizaje hamu yako ya kibaiolojia?

Danganya toto dogo kula kande mbichi!

nilipima mara kumi nikajikuta nipo fit,

niliwaacha sita

niliacha baada ya kuona ukimwi hauna dawa,

kwa sasa sina hamu kabisa, napenda sana kaufanya mazoezi, kujichanganya na mashosti maisha yanakwenda au sio
 
Back
Top Bottom