Matarajio ya Dawa ya Ukimwi: Ujumbe kwa wana JF

nilipima mara kumi nikajikuta nipo fit,

niliwaacha sita

niliacha baada ya kuona ukimwi hauna dawa,

kwa sasa sina hamu kabisa, napenda sana kaufanya mazoezi, kujichanganya na mashosti maisha yanakwenda au sio
Uliacha au uliachwa?

Sita tu? Kumbe we bado mtoto mdogo...
 
nilipima mara kumi nikajikuta nipo fit,

niliwaacha sita

niliacha baada ya kuona ukimwi hauna dawa,

kwa sasa sina hamu kabisa, napenda sana kaufanya mazoezi, kujichanganya na mashosti maisha yanakwenda au sio

Watu 6 umepima mara kumi.............hesabau bado haijatimia..........kama hao wote ulimegana nao kavu kavu:confused2::confused2::confused2:
 
Na wewe hujambo? shkang!Leo umelala wapi? Bila ofutopic maisha yanakuwa hayaendi.
Hivi kwani hii thread inasemaje vile? hebu nikumbushe!!!!
Inasema mimi na wewe tuaminiane. Yaani niwe na wewe tu. Nikienda kwa kina Eliza eti nivae mamipira. Vinginevyo eti nikupige chini, na vikina Eliza pia nivipotezee. Sasa hebu nichagulie kimoja hapo.:smile-big::smile-big:
 
:ranger::ranger::ranger:
 
Inasema mimi na wewe tuaminiane. Yaani niwe na wewe tu. Nikienda kwa kina Eliza eti nivae mamipira. Vinginevyo eti nikupige chini, na vikina Eliza pia nivipotezee. Sasa hebu nichagulie kimoja hapo.:smile-big::smile-big:
Fanya hivi.Tutaishi nyumba moja na kulala pamoja lakini.......kama kaka na dada.Hii itakuwa njia rahisi zaidi na dawa nzuri ya hii kitu.Na nadhani hii itatupa muda mzuri zaidi wa kufanya mambo ya maendeleo zaidi kuliko kushughulikia kiwanda cha kuzalisha watoto.
 
Heri yao watawa/masista na mapadre maana wamekingiwa gonjwa hilo.........

Mmmh!!! ZD wamekingiwa na nani? mbona me nimeshuhudia mapadre kadhaa wamekufa kwa ngoma? nafikiri waliokingiwa ni wale wanaoishi kwa uaminifu na utakatifu mkuu, haijalishi ni muumini,mpagani,mchungaji,padre au hata sister. according 2me:confused2:
 
Back
Top Bottom