utantambua
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,367
- 321
kweli binadamu tunatofautiana, yaani hivi hivi namuhanga mwanaume gari?
nampa pesa ya matumizi?
uwiiiiiiiiiiii labda nampangia nyuma? ahahahahahahahahah
mambo ya kujifanya nimependa sana sitaki mie........ na nilivyo mbahili hao vijana hawatonipata ng'oooo loh.......
Mbona midume inawajengeeni hadi nyumba nyie wadada?